Utachagua moja, nikulipe wewe au nimlipe mfanyakazi

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Ukitaka salamu nenda Pemba au Unguja, kwangu utaula wa Chuya

Kwakuwa mmeamua kukubaliana na Makahaba ya mjini na yasiyokuwa na ndoa ila kazi yao ni kuachanisha ndoa za watu, inapaswa uamue yafuatayo:

1. Nikulipe Mshahara lakini usiwe mke wangu tena uwe mdada wa kazi.

2. Niwe nakulipa Mshahara tu, lakini matumizi yote ya ndani ikiwemo Ada za shule za watoto ziwe juu yako.

3. Nikikulipa mshahara na wewe unilipe wa kukupiga miti kwasababu wewe unalala kama ligogo kazi kubwa nafanya mimi.

4. Nikikulipa mshahara ukubali mimi kuingiza vifaa vingine ndani na sitaki maswali kwakuwa wewe si mke wangu ni mfanyakazi wa ndani!.

5. Nikikulipa Mshahara nikitoka na BMW X3 yangu nitakaa nje hata wiki 2 na sitaki maswali kwakuwa wewe si mke wangu bali ni mdada wa kazi!.

6. Nikikulipa mshahara sitaki fyokofyoko,hizo fyoko fyoko utamalizana nazo wewe!.

SITAKI MASWALI,KAMA UNA SWALI KAMUULIZE MJINGA MWENZIO JOYCE KIRIA.

TUKANA UONE NITAKACHOKUFANYA
 
Nilipe mshahara nnunulie na BMW X5 tu! Hayo mengne tutabalance mbinguni kwa baba♥️♥️
 
Nilipe mshahara nnunulie na BMW X5 tu! hayo mengne tutabalance mbinguni kwa baba♥️♥️
BMW X3 Niliyonayo ataendesha mke wangu,wewe kwakuwa utakuwa mdada wa kazi niliyekupa hifadhi hutakuwa na mamlaka na gari zangu!,Ukichoka kufanya kazi utarudi kwenu
 
Ukitaka salamu nenda Pemba au Unguja, kwangu utaula wa Chuya

Kwakuwa mmeamua kukubaliana na Makahaba ya mjini na yasiyokuwa na ndoa ila kazi yao ni kuachanisha ndoa za watu, inapaswa uamue yafuatayo:

1. Nikulipe Mshahara lakini usiwe mke wangu tena uwe mdada wa kazi.

2. Niwe nakulipa Mshahara tu, lakini matumizi yote ya ndani ikiwemo Ada za shule za watoto ziwe juu yako.

3. Nikikulipa mshahara na wewe unilipe wa kukupiga miti kwasababu wewe unalala kama ligogo kazi kubwa nafanya mimi.

4. Nikikulipa mshahara ukubali mimi kuingiza vifaa vingine ndani na sitaki maswali kwakuwa wewe si mke wangu ni mfanyakazi wa ndani!.

5. Nikikulipa Mshahara nikitoka na BMW X3 yangu nitakaa nje hata wiki 2 na sitaki maswali kwakuwa wewe si mke wangu bali ni mdada wa kazi!.

6. Nikikulipa mshahara sitaki fyokofyoko,hizo fyoko fyoko utamalizana nazo wewe!.

SITAKI MASWALI,KAMA UNA SWALI KAMUULIZE MJINGA MWENZIO JOYCE KIRIA.

TUKANA UONE NITAKACHOKUFANYA
HAPA SIO JOYCE KIRIA...

KUNA JANAMKE OVYO LINGINE LINAITWA "SHAMIRA MSHANGAMA".
 
Kula yake inategemea kazi hiyo... Maisha ya hivyo hayapo popote kwasababu ni ya kufikirika.
Ikitokea mpenzi au mke wako akaunga hoja mwambie kuanzia leo utamlipa na vigezo na mashafti kuzingatiwa na mkataba wa ndoa ya milele uvunjwe na muanze mkataba wa mwaka 1 mbao utakuwa unarenew kila mwaka kulingana na performance.
 
Aisee! "Eti mke alipwe kwa kufanya kazi za ndani kwa sababu aliolewa kwa madhumuni mengine".

Sasa sijui wanaume wakisusa kuoa itakuwaje?? Au wanaume nao wakihitaji malipo kwa huduma wanazotoa mambo yatakuwaje?
 
Back
Top Bottom