pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Wanakuwa watoto wangu wa kuasili
😂😂😂Muulize Niki wa pili
Jamani yeye anajua wake eti. 😂😂😂Huyo boya sana kang'ang'ania mtoto ambae sio wake
Jamaniii 😂😂😂Sasa anapingana na vipimo vya kibiolojia mbususu haitaki siasa ichakate ona sasa amegongewa
Hatupimi DNA watoto, tunapima DNA na akili mama yao.Utachukua hatua gani baada ya kupima DNA na kugundua hao watoto sio wako kibiolojia
Utachukua hatua zipi?
Uzuri sina mke na sitegemei kua nae ila watoto ninao ikitokea kuna mama wa mmojawapo kaniambia hivyo basi nampa mwanae ampeleke kwa baba yake ila mimi siwezi kwenda eti nikapime DNASiku ukigombana na mkeo akikwambia live watoto uliosomesha sio wako utafanya nini? Hahahaha
Sasa mkuu uanze kugombea mtoto kweli zimekua hela! Ukiona sio wangu peleka kwa mwenye nae case closedUmekimbia
Nitamshukuru sana sana mwanaume aliyenusaidia 👍💪👏🏋️Utachukua hatua gani baada ya kupima DNA na kugundua hao watoto sio wako kibiolojia
Utachukua hatua zipi?
Wanabaki kuwa WATOTO wangu Tu, Na Mama yao nitaendelea kukaa nae Japo nitaumia sana hapo Mwanzo ila ndio hivyo nimeshawazoea wao na Mama yaoUtachukua hatua gani baada ya kupima DNA na kugundua hao watoto sio wako kibiolojia
Utachukua hatua zipi?