Utachukua hatua gani ukigundua Rais anatembea na mke au mume wako?

Rais anayeamua kufanya hivyo hana akili. Hatari kubwa sio mume wa huyo mwanamke, ni mwanamke mwenyewe...

Kuna marais wengi wa marekani walikuwa blackmailed na michepuko yao.

Ila wewe kama mchapiwaji hutakuwa na cha kufanya zaidi ya kuaibika tu.
 
Sio vyepesi kiasi hiko , rais hafiki kwa kila mtu waka si kila mtu anaweza kumfikia rais.

Ninataka kuamini rais anaweza kumaliza urais wake
 
Sio vyepesi kiasi hiko , rais hafiki kwa kila mtu waka si kila mtu anaweza kumfikia rais.

Ninataka kuamini rais anaweza kumaliza urais wake
Okey mkuu, ila naamini inawezekana.

There are so many probabilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…