General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Kwa ulinzi alio nao waziri au Rais utamtandika vipi ngumi?Ni kumtandika ngumi tu huyo boss
Kwahiyo utamuacha na kuendelea na maish yako?Mkeo akizaa na mtu mwingine anakuwa sio mkeo tena
mke wa Rais una mpataje?Mimi nikigundua mke wangu kazaa na rais nitafurah sana maana na mimi nitaenda kulipisha kisasi kwa mke wa rais afu ngoma itakuwa droo kabisa
Kwahiyo itakuwa hivi mwanangu yuko kwa rais na mtoto wa rais yupo kwangu
Yaan ni hiv rais alimulisha guchupi mke wangu na mimi nilimvulisha guchupi mke wa rais
BOY FROM RONDON
uchocheziKama Mugabe alivyozaa na Grace wakati mume wake alikua balozi nchini Uchina?
Bang! Magazine.: Rais anampenda mke wanguWaungwana.
Ikiwa umebaini kwa ushahidi kabisa kwamba mkeo amezaa na kiongozi wako (Anaweza kuwa waziri, Mkuu wa mkoa, Rais,) na pia kiongozi huyo ndiye muajiri wako ambae anauwezo wa kukufukuza kazi na hata kuondoa uhai wako?
Utachukua uamuzi gani?
Mkuu sijauliza kitabu, nataka maoni binafsiBang! Magazine.: Rais anampenda mke wangu
Tafuta hicho kitabu kilichoandikwa na Eric Shigongo kama miaka kumi na sita iliyopita.