Utachukua Uamuzi Gani Ukibaini Mkeo Amezaa na Kiongozi wako ambae ni Mwajiri wako?

Utachukua Uamuzi Gani Ukibaini Mkeo Amezaa na Kiongozi wako ambae ni Mwajiri wako?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Waungwana.
Ikiwa umebaini kwa ushahidi kabisa kwamba mkeo amezaa na kiongozi wako (Anaweza kuwa waziri, Mkuu wa mkoa, Rais,) na pia kiongozi huyo ndiye muajiri wako ambae anauwezo wa kukufukuza kazi na hata kuondoa uhai wako?

Utachukua uamuzi gani?
 
Huu uzi unaakisi maisha ya kweli ya kiongozi mmoja hivi........Akae kimya tu mshikaji ajipange na awe na nidhamu tu....mbaya zaid hyo boss wao yy pamoja na mkewe hana silka ya uvumilivu!! Yeye ndo yeye!! Kwahyo atulie tu, huwenda hata akaongezwa cheo.....ila asioe tena zile rangi za wenye nywele za mtelezo......hub a haha bushbaby natania tu bhana!! Cna HAJA ya kutosha mie
 
Nitamwambia mkewangu afanye mpango nipandishwe cheo
 
Nitakachokifanya nakijua mm Mungu atanisamehe ila yaliyotokea kwa yule mtangaziji wa ITV nadhaani itakuwa zaidi
 
Mimi nikigundua mke wangu kazaa na rais nitafurah sana maana na mimi nitaenda kulipisha kisasi kwa mke wa rais afu ngoma itakuwa droo kabisa

Kwahiyo itakuwa hivi mwanangu yuko kwa rais na mtoto wa rais yupo kwangu

Yaan ni hiv rais alimulisha guchupi mke wangu na mimi nilimvulisha guchupi mke wa rais

BOY FROM RONDON
 
mke wa Rais una mpataje?
 
Waungwana.
Ikiwa umebaini kwa ushahidi kabisa kwamba mkeo amezaa na kiongozi wako (Anaweza kuwa waziri, Mkuu wa mkoa, Rais,) na pia kiongozi huyo ndiye muajiri wako ambae anauwezo wa kukufukuza kazi na hata kuondoa uhai wako?

Utachukua uamuzi gani?
Bang! Magazine.: Rais anampenda mke wangu

Tafuta hicho kitabu kilichoandikwa na Eric Shigongo kama miaka kumi na sita iliyopita.
 
mapenzi sio kitu cha kuchukulia serious upoteze uhai wako au wa mwenzako...

dunia ina watu bilion 7.. na hapo wanawake kibao wazuri wazuri... mimi naamini ndoa ni mkataba.. so huo mkataba umekuwa void nitauvunja tu na kuendelea na kazi yangu natafuta k nyingine maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom