Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
kwani baltika ina ladha tofauti na pombe, anaeweza kunywa baltika bhasi anaweza kunywa pombe. Labda ungesema bavaria au energy drink yoyote maana kwa muonekano huwa poa kuliko soda na kama ana guts anaweza tumia sweet wineJamaa kazingua..vipo vinywaji vinavyoendana na walevi,, angekua anakula zake balitka tu hapo mbona mambo yangekua fresh