Utafanya nini endapo utagundua kuwa umeingia kwenye ndoa na mtu ambaye si sahihi?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani.

Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi wake ambayo hakuyajua kabla ya Ndoa.

Kama ilivyo ndoa za Kikristo zinasema hadi Kifo kiwatenganishe ndipo muachane pamoja na sababu nyinginezo.

Nimesoma Visa na mikasa kutoka kwa wanasaikolojia na wataalamu wengine wa kimahusiano Nimeona malalamiko mengi yaliyomo ndani ya Ndoa.

Malalamiko ya wanaume.
1.Mke hapendi ndugu zake.
2.Mke mvivu.
3.Mke sio Mwaminifu katika ndoa.
4.Mke Mchoyo.
5.Mke hamjali Mumewe.
6.Mke ana Mdomo na dharau.
7.Mke Mchawi.
8.Mke halei vizuri watoto.
9.Mke hataki kulea watoto wa nje wa Mumewe pamoja na mambo mengine kama hayo.

Malalamiko ya Wanawake kwa Wanaume.
1.Sio waaminifu.
2.walevi kupindukia na kuchelewa kurudi nyumbani.
3.Hawajali familia.
4.Hawashirikishi familia mambo yao.
5.Kusikiliza zaidi wazazi wao hasa Mama.

Na mambo mengine kama hayo.

Lakini inaelezwa kuwa kabla ya hapo walikuwa vizuri na kuamua kuingia kwenye ndoa.

Kanisani mliapa mtakuwa pamoja kwenye shida na raha.Lakini baada ya kugundua hayo madhaifu mnaanza kuomba Talaka 😅 mlidhani ndoa ni nini?.

Hakunaga ndoa nyepesi, ndoa ni kitu kikubwa sana kinachobeba mambo mengi sana na ni safari ndefu.

Mwingine anashtuka anapoambiwa mkwe atakuja kuugulia hapa hadi apone. Anaanza kuzunguka zunguka kuomba ushauri.

Hiyo Ndio ndoa.

Sasa wewe ukikutana na utofauti huo utafanya nini?
 
Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani.

Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi wake ambayo hakuyajua kabla ya Ndoa.

Kama ilivyo ndoa za kikristo zinasema hadi Kifo kiwatenganishe ndipo muachane pamoja na sababu nyinginezo.

Nimesoma Visa na mikasa kutoka kwa wanasaikolojia na wataalamu wengine wa kimahusiano Nimeona malalamiko mengi yaliyomo ndani ya Ndoa.

Malalamiko ya wanaume.
1.Mke hapendi ndugu zake.
2.Mke mvivu.
3.Mke sio Mwaminifu katika ndoa.
4.Mke Mchoyo.
5.Mke hamjali Mumewe.
6.Mke ana Mdomo na dharau.
7.Mke Mchawi.
8.Mke halei vizuri watoto.
9.Mke hataki kulea watoto wa nje wa Mumewe pamoja na mambo mengine kama hayo.

Malalamiko ya Wanawake kwa wanaume.
1.Sio waaminifu.
2.walevi kupindukia na kuchelewa kurudi nyumbani.
3.Hawajali familia.
4.Hawashirikishi familia mambo yao.
5.Kusikiliza zaidi wazazi wao hasa Mama.
Na mambo mengine kama hayo.

Lakini inaelezwa kuwa kabla ya hapo walikuwa vizuri na kuamua kuingia kwenye ndoa.

Kanisani mliapa mtakuwa pamoja kwenye shida na raha.Lakini baada ya kugundua hayo madhaifu mnaanza kuomba Talaka 😅 mlidhani ndoa ni nini?.

Hakunaga ndoa nyepesi, ndoa ni kitu kikubwa sana kinachobeba mambo Mengi sana na ni safari ndefu.

"The worse prison in the world is a home without peace, be very careful who you marry or fall in love with."

Johnny Depp
 
Ndio maana kati ya kitu mtu hukulupuki kukifanya ni kuoa.

Mnakutana kanisani huko kila mmoja kajivika ngozi ya kondoo mnaoana kwa imani kubwa baada ya muda kila mmoja anaanza kuonesha tabia zake halisia coz ameshapata anachokitaka.

Mimi napiga chini tu.
 
😅😅😅hufikirii wazazi uliowasumbua
 
IMG_1499.jpeg
 
Back
Top Bottom