Utafanya nini ili uwe na hamasa ya kusoma?

It hapowns to evwrybody.
I think personally mimi nlijua muhanga wa hilo.
So nlichokua nafanya ni nasoma pale nnapopata mood. Na nkiipata nakomaa kwelikweli hata kama ni 2hrs nahakikisha nlichosoma ili kitoke kichwani labda wanikate kichwa.
Kuna times nko na masela tunakula vyombo, hyo mood ikija nasimama hapo hapo nashika toyo chap naenda nakaza msuli, ikiisha narudi nawakuta tunaendeleza kupiga dagi.
Though, ushauri wa bure, jitahd kujijua we n mtu wa aina gani when it comes to studies, hapo hutahangaika.
Mimi najijua kbsa nkiingia class nkamskiliza mwalim inatosha kabisa, so huko nje ndo mpaka mood ifike hapo ndo ntakomaa.
CHa mwisho, jitahd uwe unaelewa rather than kukariri, ask yourself questions while u study itakupa hamsa ya kuelewa zaidi.
Kwa mfano case ya nani vs flan, jitahd uiangalie in a lens ya wewe kua hapo ndo unahitaji kuifanyia maamuzi, what would u do? Hapo inakupa stim ya kuchimba zaidi
 
Woooow thank you so much broh....nitajitahd kufanya vzr

Wakati nasoma nilikuwa nikikutana na hali kama yako ya kutokuwa na mzuka wa kusoma sisomi kweli

Natumia huo muda kufanya yale napenda na kupumzika/kurelax sana huku nikienda darasani kama kawaida
Jaribu kufanya hayo,yanaweza kukusaidia kama ilivyokuwa kwangu

Ni hali ya mpito
Nakazia [emoji419]
 
Mie chuo kikuu sijawahi kufika ila vile vyuo vyetu vile niliweza pata asilimia za juu Kwa kuenjoy my self kufurahia na kutojilazimisha kusoma yaani soma kidogo kidogo najaribu kulelewa darasani kuliko kusoma uelewe unachofundishwa maana hata ukikariri ukafaulu mitihani hutoweza kufanya kazi vizuri Kwa baadae,

So Anza kwakuyaelewa masomo kwanza , so ndio unapractise kile mwalimu alichokisema kupitia notes hapo utasoma kikubwa Kwa maana unaelewa ufundishwa nini , best wishes to you??
 
Asante sanaa rafiki
 
Tafuta rafiki mpenda kusoma na mpenda shule

Unatakiwa upate GPA kuanzia 3,5 ili ikupekujiamini mfano unapoomba kazi

Kingine ujue kwa sasa kazi yako kama mwanadamu ni kusoma so soma, ukimaliza chuo au shule utapata muda wa kufanya unayotaka wewe, STUDY FOR NOW
 
Nimespend 17yrs kwenye elimu (2005~2022). Ndani ya miaka yote hyo sijawahi kupata mood ya kusoma ktk level zote na nilikua mvivu wa kutupwa ila sijawahi kufeli. Nilikua ni aina ya wanafunzi ambao ukimuiga lifestyle yake basi umepotea.
 
😅
 
Woooow thank you so much broh....nitajitahd kufanya vzr
Amen to that and More power to you.
Kingine, try to read books on other topics ambazo zinakufurahisha apart from hyo law.
Kuna books on every topic u can think aboit and its easier to download books mtandaoni.
Hii itakujengea tabia ya kupenda kusoma. So choose a topic, lets say public speaking, read books on it hata viwili. Tena soma kawaida tu for fun sio kama unaenda kujibu mtihani. With time uta gain ile munkari ya kupenda kusoma and it wil help you out.
Hata humu JF kuna uzi wa Paula Paul , humo kuna vitabu vingi sana on vast topics vimekua uploaded na members wengi, so unaeza upitia ukawa una download a book unakisoma hata kama n chapters mbili its enough, coz it will re wire your brain.
Pia utaona michango ya watu mbalimbali and its a step further towards success.
 
🙏🤝 ...sawa
 
Wakuu nimejikuta nimekuwa mvivu sana hasa kwenye mambo ya kusoma, sina mood kabisa sijui nifanye nini.

Hamna ninachowaza useme hela au mapenzi, hamna chochote, nipo tu yaani sielewi japo nahudhuria lecture na kuelewa vizuri ila kusoma ndio imekuwa shida.
Set objectives, kwenye masomo, mfano hii semester nataka kupata A zote au A nusu na B+ nusu, utakuwa motivated.
 
It hapowns to evwrybody.
I think personally mimi nlijua muhanga wa hilo.
So nlichokua nafanya ni nasoma pale nnapopata mood. Na nkiipata nakomaa kwelikweli hata kama ni 2hrs nahakikisha nlichosoma ili kitoke kichwani labda wanikate kichwa.
Kuna times nko na masela tunakula vyombo, hyo mood ikija nasimama hapo hapo nashika toyo chap naenda nakaza msuli, ikiisha narudi nawakuta tunaendeleza kupiga dagi.
Though, ushauri wa bure, jitahd kujijua we n mtu wa aina gani when it comes to studies, hapo hutahangaika.
Mimi najijua kbsa nkiingia class nkamskiliza mwalim inatosha kabisa, so huko nje ndo mpaka mood ifike hapo ndo ntakomaa.
CHa mwisho, jitahd uwe unaelewa rather than kukariri, ask yourself questions while u study itakupa hamsa ya kuelewa zaidi.
Kwa mfano case ya nani vs flan, jitahd uiangalie in a lens ya wewe kua hapo ndo unahitaji kuifanyia maamuzi, what would u do? Hapo inakupa stim ya kuchimba zaidi
Sidhani kama sheria inausomaji wa hivi. Kumeza ndio kilakitu.
 
Back
Top Bottom