I used to do this before, it really pays, but now i think going further by building on the site is a more better optionNitanunua kiwanja kilichopimwa na full documents then baada ya miaka miwili nitakuaj kukiuza kwa bei mara 2 ya bei niliyonunulia.. ndio bongo manake price zina shoot ile mbaya