Utafanya nini ukuwa huna muda na anayekupenda kwa dhati?

Mwambie Sina nguvu za kiume au jiite tohashi.
Kuumizwa ni kawaida mkuu
Tumeumizwa sana na baadae tunapona... wanaume wanatuumiza na siye wanawake tunaumiza wanaume...dunia ni uwanja wa vita mkuu...acha tu
 
Kwa mfano mtu anakupenda kabisa na anaonyesha kweli anakupenda na wewe huna muda nae utafanyaje?

Yaani anakujali na muda mwingi anakuwa anakuhitaji muonane ila wewe moyo wako haupo kwake utafanyaje hapo?
Simple saikoloji ni wewe kufungua moyo na kumpa nafasi(kumsikiliza) kama anauwezo mzuri wa ku interact na wewe haitachukua muda utamuelewa na mtakua mnapendana...itapendeza sana kama mkifikia hatua hii.

Ila angalizo kabla haujafanya haya kama umeamua kuchukua njia hii ya kumpa nafasi, je unauhakika anakupenda kweli na je personality/tabia zake zinaendana na vipaumbele vyako|anasifa njema???

Are you sure enough!? Usijue ukajichanganya ukazama kumbe unadanganywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…