Utafanya nini ukuwa huna muda na anayekupenda kwa dhati?

Utafanya nini ukuwa huna muda na anayekupenda kwa dhati?

Kwa mfano mtu anakupenda kabisa na anaonyesha kweli anakupenda na wewe huna muda nae utafanyaje?

Yaani anakujali na muda mwingi anakuwa anakuhitaji muonane ila wewe moyo wako haupo kwake utafanyaje hapo?
Simple saikoloji ni wewe kufungua moyo na kumpa nafasi(kumsikiliza) kama anauwezo mzuri wa ku interact na wewe haitachukua muda utamuelewa na mtakua mnapendana...itapendeza sana kama mkifikia hatua hii.

Ila angalizo kabla haujafanya haya kama umeamua kuchukua njia hii ya kumpa nafasi, je unauhakika anakupenda kweli na je personality/tabia zake zinaendana na vipaumbele vyako|anasifa njema???

Are you sure enough!? Usijue ukajichanganya ukazama kumbe unadanganywa.
 
Back
Top Bottom