Utafanyaje hapa (only men)

Utafanyaje hapa (only men)

Nakubali kwa sharti kuwa hizo pesa anikabidhi mimi kwanza ndo akachapwe. Alafu akirudi hanikuti nakua nimemkimbia naenda kutafuta demu wa ukweli aliye mwaminifu naishi nae.

unajidanganya tu na demu mwaminifu....!
 
Bora nitembee na ndala zangu niwe huru kuliko kuwa mtumwa kiasi hicho!!!
 
Heri nife masikini kuliko kumegewa my wife wangu tena kwa kujua na kutoa ruhusa.
 
kwa kuomba tu hivyo ujue keshaliwa na kanogewa na anakupa taarifa kwamba she doesnt love you any more, you are poor, useless and piece of sh!t

the best to do is to return honors, hakikisha unamsapoti, mnapanga na mipango ya kupiga vita umaskini.... akili kichwani lazma umchape japo nusu na uingine mitini kama mwendawazimu
 
hahaa hìi kali lazima achanganyikiwe maana atakuwa amekopwa mara mbili

Sipo tayari kabisa,kama anataka bora niachane nae aende akachapwe nao,kuna magonjwa mengi siku hizi,hela makaratasi hasara roho
 
hahaa hìi kali lazima achanganyikiwe maana atakuwa amekopwa mara mbili
hebu imagine aisee.... yani kweli kabisa mke anapata nguvu hadi ya kuja kusema hivyo we bado unamuamini?? kwanza walianzaje hadi wakafikia hilo dau la 50M???

Ukionya manyoya??? ... keshaliwa huyoooooooooooooo
 
hahaaaaaaaaaaaaaa sina la kuongeza ila tamaa mbaya sana lazima uwe mwehu kufikia hatua hiyo.[JFMP3][/JFMP3]
hebu imagine aisee.... yani kweli kabisa mke anapata nguvu hadi ya kuja kusema hivyo we bado unamuamini?? kwanza walianzaje hadi wakafikia hilo dau la 50M???

Ukionya manyoya??? ... keshaliwa huyoooooooooooooo
 
Milioni hamsini ziwe wired kwenye akaunti yangu, hati ya nyumba iwe kwenye jina langu. Yakitimizwa hayo, hata tigo jamaa apewe tu.
Pimpin aint easy!!
 
Milioni hamsini ziwe wired kwenye akaunti yangu, hati ya nyumba iwe kwenye jina langu. Yakitimizwa hayo, hata tigo jamaa apewe tu.
Pimpin aint easy!!
aisee... kweli JF imepinda
 
Siko tayari kudhalilika, wala kumdhalilisha nimpendaye kwa ajili ya pesa! Kama ameamua kunisaliti ni bora aende moja kwa moja asirudi. Binafsi siamini bado kama mapenzi ni pesa!

nitamruhusu,kama ameweza kuniambia ni dharau kubwa sana,angefanya bila kusema,,sasa bc namruhusu na mimi ili nimdharau kama alivofanya kwangu.2taishi kama kawa.
 
nahisi unazungumzia demu na kama ni mke sijui labda ulaya. find this to be too virtual!
nilichogundua wengi mnachanganya badala ya kusema demu mnaandika mke. nahisi kama
si mazungumzo ya mtu na mkewe hayo wenye akili timamu kwa tamaduni zetu!!!!!!!
 
Kuna movie inaitwa in decent proposal, jamaa aliruhusu mke aliwe na pedeshee, matokeo yake pedeshee akanogewa na ndoa ikakosa amani!
 
Mbona ni ilo tunda linalotakiwa ni lipi,la mbele au nyuma?na litaliwaje hvyohvyo au mpira!patata hapo
 
ilo tunda linalotakiwa ni lipi,la mbele au nyuma?na litaliwaje hvyohvyo au mpira!patata hapo
 
Back
Top Bottom