Nakubali kwa sharti kuwa hizo pesa anikabidhi mimi kwanza ndo akachapwe. Alafu akirudi hanikuti nakua nimemkimbia naenda kutafuta demu wa ukweli aliye mwaminifu naishi nae.
kwa kuomba tu hivyo ujue keshaliwa na kanogewa na anakupa taarifa kwamba she doesnt love you any more, you are poor, useless and piece of sh!t
the best to do is to return honors, hakikisha unamsapoti, mnapanga na mipango ya kupiga vita umaskini.... akili kichwani lazma umchape japo nusu na uingine mitini kama mwendawazimu
hebu imagine aisee.... yani kweli kabisa mke anapata nguvu hadi ya kuja kusema hivyo we bado unamuamini?? kwanza walianzaje hadi wakafikia hilo dau la 50M???hahaa hìi kali lazima achanganyikiwe maana atakuwa amekopwa mara mbili
hebu imagine aisee.... yani kweli kabisa mke anapata nguvu hadi ya kuja kusema hivyo we bado unamuamini?? kwanza walianzaje hadi wakafikia hilo dau la 50M???
Ukionya manyoya??? ... keshaliwa huyoooooooooooooo
aisee... kweli JF imepindaMilioni hamsini ziwe wired kwenye akaunti yangu, hati ya nyumba iwe kwenye jina langu. Yakitimizwa hayo, hata tigo jamaa apewe tu.
Pimpin aint easy!!
Kuna porn stars walioolewa, wengi tu.aisee... kweli JF imepinda
Siko tayari kudhalilika, wala kumdhalilisha nimpendaye kwa ajili ya pesa! Kama ameamua kunisaliti ni bora aende moja kwa moja asirudi. Binafsi siamini bado kama mapenzi ni pesa!
Heri nife masikini kuliko kumegewa my wife wangu tena kwa kujua na kutoa ruhusa.