Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Mwanamke akitoa mapenzi kwa sababu ya material goods anakua na jina maalum kwa kiswahili: MALAYA
Ipo siku atakuambia Mume wangu kuna Mwanaume anakutaka ana pesa sana mkubalie si mara moja tu upate mtaji.
Bora nibaki na umasiki wangu kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi
[COLOR=#008000 said:Sasa naomba usikasirike naommba tuu niruhusu nimpe hitaji lake tubadili maisha kwani hata nikimpa si chumvi kwamba itaisha na utaikosa[/COLOR]"
Inaonyesha kuwa huyo binti kwanza anatamaa kubadili maisha hivyo hata leo na kesho tena labda umefilisika atakwambia umruhusu akajiuze ili mpate hela ya ku-survive.
So take care...
Anyway mimi ningemkatalia then ningeanza kumfatilia nyendo zake maana yaonesha anatembezaga sana kwa matajiri ili tu apewe mkwanja.