Nasubir masaa 48 yapite nikatoe tangazo polisHaha... maana kila nikichungulia kwake simwoni.
Naamini alikotekwa yupo mikononi salama.
Kabla ya kwenda polis wasiliana na bashite wa JF anaweza kumrudisha kabla ya jtanoNasubir masaa 48 yapite nikatoe tangazo polis
Ha ha ha ha yule hata ukitangaza humu harudKabla ya kwenda polis wasiliana na bashite wa JF anaweza kumrudisha kabla ya jtano
Tehteh maana Asprin ana tabia akipotea siku 2 lazima mrembo mmoja naye apotee.. huyu mzee nitamnyan"ganya mafile yoteHa ha ha ha yule hata ukitangaza humu harud
[emoji115] ndiyo tuchukulie mfano umeenda unamkuta ni mkeo/mumeohaiwezekani ,kama umempa picha ya kweli ,atakupotezea kama ni ndugu .
ila kama ni wale wazee wa picha feki.
tunabonga tu sikupotezei wala nini..
ila ntakuuliza kilichokusibu kunipa picha fake.
mazungumzo yako ya siku hiyo yataamua nikuache & tuendeleze libeneke.
Hiv unategemea mim ntamuamin Daby hata kwa bahat mbayaHuamni au hutaki
Nimekushindwa tabiaBinadamu mwenye roho na utu.
Huyu mjukuu wangu hanifanyi kitu zaidi ya kumwachia laana tu akinifuatilia
Kumbe mjukuuu wako,nilijua wifi, nilikuwa nahofia kuvunja ndoa nyenu ya jf,Huyu mjukuu wangu hanifanyi kitu zaidi ya kumwachia laana tu akinifuatilia