Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Bibi yako yupo menopozi mwache azeeke vizuri[emoji15] [emoji15] babuuuu nimesoma vibaya au [emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi yako yupo menopozi mwache azeeke vizuri[emoji15] [emoji15] babuuuu nimesoma vibaya au [emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwahiyo yy azeeke vizuri alfu wewe... Alfu bb yng sijui alikupata wapi??? Maana kwa watoto unaomiliki humu ndani natamani nikamuulize mama vizuri...kwamba wewe ndiye babu yng halisi au alikosea kunionyeshaa....Bibi yako yupo menopozi mwache azeeke vizuri
hahhaha ya nn kuuziana mbuzi kwenye guniaKuna mitandao kama skype..whatsap video calling napenda kuitumia saana. Lazima nikuone sura.
wazee wa nn mm ujana wake ale na nani uzee kwangu nataka mambo ya kuchemshiana maji ya motoHaha.. namtafuta shunie saana haujamwona
MmhHa ha ha ha kuna kibabu kimemficha kwa wazee yule
shikamoo kaka akeeHaha... maana kila nikichungulia kwake simwoni.
Naamini alikotekwa yupo mikononi salama.
Nasubir masaa 48 yapite nikatoe tangazo polis
Kabla ya kwenda polis wasiliana na bashite wa JF anaweza kumrudisha kabla ya jtano
nan harudi tena akitangazwa humuHa ha ha ha yule hata ukitangaza humu harud
tehHiv unategemea mim ntamuamin Daby hata kwa bahat mbaya
hivi espy na Daby yameanza lini[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
CC:espy
Baby umezira nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye kukutana mnyemelee umuone kabla hajakuona, uliza alivyovaa na ukikuta siye uliyekua unachat nae basi timua zako tu!
Ila ni vizuri ukamtumia msg kumwambia hamuezi onana na umpe sababu ili apate aibu!
Ivi nikikuziria wewe ntaishi kweli mimi?Baby umezira nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Marahaba mamdogo hebu fanya ku nitextimo kule....shikamoo bamdogo una shida gani et mpk kutafutwa hivi
wazee wa nn mm ujana wake ale na nani uzee kwangu nataka mambo ya kuchemshiana maji ya moto
Mmh
shikamoo kaka akee
hahahhh ukatoe tangazo polisi
Mmh bamdogo kuna nn tena jamaan [emoji134]Marahaba mamdogo hebu fanya ku nitextimo kule....
[emoji57][emoji57]waiting.Mmh bamdogo kuna nn tena jamaan [emoji134]
done[emoji57][emoji57]waiting.
Nenda uzi wa couples nimekuachia zawadi yako! Compact ka'surrender nimetangaza paprika love emergence state, anayetaka kutekwa aendelee kukufatafata..[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]Ivi nikikuziria wewe ntaishi kweli mimi?
You are unziriable