Utafanyaje km uliye mtegemea ndiye kumbe siye?!

[emoji15] [emoji15] babuuuu nimesoma vibaya au [emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bibi yako yupo menopozi mwache azeeke vizuri
 
Bibi yako yupo menopozi mwache azeeke vizuri
Kwahiyo yy azeeke vizuri alfu wewe... Alfu bb yng sijui alikupata wapi??? Maana kwa watoto unaomiliki humu ndani natamani nikamuulize mama vizuri...kwamba wewe ndiye babu yng halisi au alikosea kunionyeshaa....

Haka kaukoo naona kanaingia kashetwaniii
 
hapa ndio nakumbuka msemo wa sumbai mita 200 lazima ihusike
teh teh
 
shikamoo bamdogo una shida gani et mpk kutafutwa hivi
Haha.. namtafuta shunie saana haujamwona
wazee wa nn mm ujana wake ale na nani uzee kwangu nataka mambo ya kuchemshiana maji ya moto
Ha ha ha ha kuna kibabu kimemficha kwa wazee yule
Mmh
Haha... maana kila nikichungulia kwake simwoni.

Naamini alikotekwa yupo mikononi salama.
shikamoo kaka akee
hahahhh ukatoe tangazo polisi
Nasubir masaa 48 yapite nikatoe tangazo polis

Kabla ya kwenda polis wasiliana na bashite wa JF anaweza kumrudisha kabla ya jtano
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye kukutana mnyemelee umuone kabla hajakuona, uliza alivyovaa na ukikuta siye uliyekua unachat nae basi timua zako tu!
Ila ni vizuri ukamtumia msg kumwambia hamuezi onana na umpe sababu ili apate aibu!
Baby umezira nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hivi espy na Daby yameanza lini
espy si wa MO11
Ohooo babu yangu ninavyo mjua anabakizaga kitu... Sasa hapo sijui nani kabuibia mwenzie.... Cc :espy kuja huku ujibu mashtaka
 
shikamoo bamdogo una shida gani et mpk kutafutwa hivi

wazee wa nn mm ujana wake ale na nani uzee kwangu nataka mambo ya kuchemshiana maji ya moto

Mmh

shikamoo kaka akee
hahahhh ukatoe tangazo polisi
Marahaba mamdogo hebu fanya ku nitextimo kule....
 
Ivi nikikuziria wewe ntaishi kweli mimi?
You are unziriable
Nenda uzi wa couples nimekuachia zawadi yako! Compact ka'surrender nimetangaza paprika love emergence state, anayetaka kutekwa aendelee kukufatafata..[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…