Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
- Thread starter
-
- #41
Naenda BOT navuta mpunga wa kutosha narudi kulala nisubiri nao waamke
Nitaanza kula bata hatari,mbuz ,kuku,pombe labda navya visiwepoutaishije sasa? hakuna hata wa kuongea naye
Hata kama...Never on earth hamna hiyo kitu..labda uende sayari nyingine peke yako...sio hapa Duniani
Lazima unajua watakuwa wameenda wapi, we niagizie tuu bhana nikiamka niwafuatendo haijulikani yani waliko..utafanyaje
Nikilala na kuamka nitawakuta tuSasa mkuu hizo hela utanunua nin maana uko peke yako
Nitaanza kula bata hatari,mbuz ,kuku,pombe labda navya visiwepo
Nikilala na kuamka nitawakuta tu
Mimi ntaenda kukaa ikulu ili mkirudi mkute ndio raisi wenu
Ikitokea hivyo nitarudi jf,kutoa mrejesho.nitawasha tv kuna watu kibao humo....
Samahan naomba uongezee na kiburudsho hapo kwenye peke yangu..!.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI LA KIZUSHI wadau, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?πππ
Hapa natafuta lori naenda B.O.T kwanza, nkirudi mambo mengine yakisayansi yatafata kujua kwa nini nimebakia peke yangu!.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI LA KIZUSHI wadau, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?πππ
Basi nasubiri nilale Mungu atoe ubavu wangu nipate msaidizi. Na kamwe sitakula tundu lolote hata papai ninalolijua. Tusije tukaharibu tena kama Adam na hawana usipowakuta
kila awamu upoHamna kitu kama hicho na haitakaa itokee..Labda ndotoni
Nani anacontrol dunia?Ndo maana nimesema kwa mfano.. we jamaa vipi utasemaje haiwezekani wakati siyo ww unayecontrol dunia
wala hata ndio uhalisiainaelekea ulishiriki kuunda dunia
Hamna kitu kama hichoNdo maana nimesema kwa mfano.. we jamaa vipi utasemaje haiwezekani wakati siyo ww unayecontrol dunia
Alafu aweni demuuliekuwa unamtamani kilasiku lakini unashindwa kumpata Kutokana na sababumbalimabali.Nitawaomba wanipatie demu mmoja.