Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Nitahamia gafla pale ikulu magogoni
 
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI LA KIZUSHI wadau, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Samahan naomba uongezee na kiburudsho hapo kwenye peke yangu..!
 
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI LA KIZUSHI wadau, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Hapa natafuta lori naenda B.O.T kwanza, nkirudi mambo mengine yakisayansi yatafata kujua kwa nini nimebakia peke yangu!
 
Back
Top Bottom