Utafanyaje wewe kama mwanaume?

Utafanyaje wewe kama mwanaume?

we nidanganye danganye tuuuuuu,cz unajua kama unaibiwa bado hutak kujiepusha...love is 4 two ppo,bt some stupids dnt knw how 2 count....ikijua piga chin unless othr wise wataka kufa mapema
 
Mla huliwa kaka. Na wewe tafuta brake fluid yako, tafuna kimyakimya.
 
Mimi niwe mkweli kwnye ilo,Ebana kwangu asiludi mana akisuthubutu kujileta home atakuwa ameamua kujibatiza jina jipya la "Marehemu" nami nikaozee segerea tu.Kw7babu kunipigia simu wakati anamegwa iyo ni dharau isiopimika.
 
lazima ajue km nimemuona au nimeju, na adhabu yake ni talaka
 
Back
Top Bottom