SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Sheria ya sekunde 30 inatumika. Germs are not aware yet!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me hata wakiona fresh tu ndo vizuri wasuse wasile ili nikipangie bajeti moja matata sana [emoji1787]Mbona kinazoleka vzr tu.[emoji23][emoji23]
ila mtu asikuone.
Siwezi kutupa huo,naula kama kawa.Sheria ya sekunde 30 inatumika. Germs are not aware yet! View attachment 2395791
Af uzuri zaidi nyama hazijamwagika🌝Mbona kinazoleka vzr tu.😂😂
ila mtu asikuone.
Hilo ndio la muhimu, hata Mimi Cha kwanza niliangalia kwenye chombo baada ya kujiridhisha nikashusha pumzi [emoji3][emoji3]Af uzuri zaidi nyama hazijamwagika[emoji275]