Utafiti: 12% ya wakenya anaamini katika uchawi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wazee zaidi ya 150 wameuawa mwaka jana katika pwani ya Kenya eneo Kirifi nchini Kenya kwa imani za kishirikina na tuhuma za uchawi BBC WORD NEWS imechapisha katika wavuti wake.

Inadaiwa wakenya wamezidi kuuawa kwa ushirikina na kumekuwa na visa kadhaa vya mauji na mashambulio ya kudhuru mwili.

Ukionekana una macho mekundu,nyusi zenye rangi tofauti lazima uuwawe wa watu.

Chanzo BBC

USSR
 
Hehehe Wacheni kuchekesha bana.....maana kwenu huko mnakotafuna albino ndio ushirikina umetamalaki, nch gani nyingine dunia hii umeskia albino wanaliwa kama kwenu....
Kampala wanakula rangi zote
 
Habari nzuri hii. Napenda jinsi Wakenya hawaamini uchawi kwa wingi - yani 88% hatuamini uchawi kabisa maanake majirani zetu hususan wa kusini kama 99% wanaamini uchawi.
 
Kampala wanakula rangi zote
Kule watu walikua wanaliwa kama msosi wa kawaida, haikua kwa aili ya ushirikina, ila kwenu hapo eti ukitaka ushindi kwenye uchaguzi au biashara yako inawiri inakubidi kutafuna mnofu wa albino na kushushia kwa mchuzi wake.
 
Ilishapita hii, kila vitabu na kurasa zake
 
Ilishapita hii, kila vitabu na kurasa zake

Tutajuaje maana siku hizi kwenu huko hairuhusiwi kutoa taarifa zozote bila kupitia vyombo vya dola.....kila kitu kimeminywa, ukisema tu unalo.
 
Tutajuaje maana siku hizi kwenu huko hairuhusiwi kutoa taarifa zozote bila kupitia vyombo vya dola.....kila kitu kimeminywa, ukisema tu unalo.

Hapana hii sio ile forbidden information ya kolonya
 
Hapana hii sio ile forbidden information ya kolonya

Kwanza hizi za kutafuna albino ndio mnazima kabisa bora hata za kolonya, nakumbuka juzi mlipoanza kuchinja watoto kule Njombe, mkulu wenu alikasirika sana na kuanza kufuta wakuu wa polisi, kwa hali kama hiyo lazima zifichwe kwa nguvu zote.
 
Nijuavyo mimi pembe la moo halifichiki
 
Nijuavyo mimi pembe la moo halifichiki

Kwenye mataifa ya kijamaa, chochote kinafichika maana raia wake huswagwa kama mifugo na kufuata mstari mmoja bila yeyote kuhoji.
Nimepitia nyuzi zenu kwenye jukwaa la siasa, naona jinsi kolonya amechachamaa mnazika kimya kimya ila hairuhusiwi kutolewa taarifa zozote. Sio tena zile siku mlikua mnahoji eti nani ameshuhudia yeyote kwenye ukoo wake kaugua huyo mdudu, sasa wengi mnasema mnaona ndugu zenu tena wa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…