UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Uko sahihi kabisa..uongozi si lazima kufanya watu wacheke au kufurahi, nchi ilikuwa mikononi mwa wezi, wababaishaji na wahuni wa mijini wasiotaka kutumia akili kufikiri lakini wanataka maisha mazuri, asilimia kubwa ya viongozi waliokuwa kwenye maamuzi ni wale ambao hawafahamu hali ya maisha ya watu wa chini..tofauti ya masikini na matajiri ilikuwa inaongezeka kwa kasi ya ajabu, Magufuli amefanya U-turn ndiyo maana ya hizi kelele na tafiti za uzushi uzushi kama hizi ambazo hazijengi lolote!
 
Hahaa kwa hiyo kila mtu aangalie data
Hahaa, kwa hiyo unajiuliza moyoni nakubalutendaji wake au hapana: ukienda kwenye data unajipima mwenyewe kama wewe ni mwanamke au mwanaume, mzee au kijana, wa kijijini au mjini, umesoma au hujasoma. Hebu kila mtu afanye hili zoezi tuone kama lina uhalisia na kila mtu!
 
Hapo kuna 2019, na 2020..pengine ikabaki 25%...
Sema miujiza inayotokeaga kwenye sanduku la Kura Mungu ndie anejua...

ndo pakushangaza mi nahisi kutakua na mazingaombwe kwenye sanduku la kura
 
Sasa ukikata mirija ya watu ukajiunganishia wewe inasaidia nini?Think twice.
 
Wewe ndio usome vizuri....Magufuli ana kubalika kwa 55% kwa hiyo hata ingelikuwa ni uchaguzi lazima angelishinda kabisa.....halafu CCM haihitaji utafiti ili kushinda Uchaguzi ...ccm kushinda uchaguzi ni lazima
hawa baavichaa wanafiki sana kipindi utafiti unasema JPM Anakubalika kwa asilimia 96 walikuja na kuiponda Twaweza Leo wapo mbiombio kufurahia hahahaha...
 
Huu utafiti ni Mkuki mwingine kwenye kumoyo.
 
hawa baavichaa wanafiki sana kipindi utafiti unasema JPM Anakubalika kwa asilimia 96 walikuja na kuiponda Twaweza Leo wapo mbiombio kufurahia hahahaha...
Ni zamu yetu kuukubali , wewe kipindi.kile si uliukubali, sasa lazima awamu hii ni zamu yako kuukata

Hahahaaaa kutesa kwa zamu.
 
Watanzania wako wamoja katika mioyo yao. Kwa sasa watanzania ni wamoja zaidi kuliko wakati wowote lakini kiakili na kimoyo si hadharani! Ikiwa watanznia wengi watapiga kura halali itawashangaza wengi hata wale wanaong'ara sasa na wanaoamini wako sahihi!
kinachowafanya watanzania wawe wamoja ni msururu wa mambo yanayotokea
 
Kwa kweli ata mimi nikiwa na mtoto wangu nikampeleka shule mwenzi wa kwanza kapata 96 mwenzi wa 3 kapata 71 mwenzi wa tano akapata 55 lazima nimkalishe chini nijuwe nini kimemshusha kwa kasi hivyo
 
Headline ya thread haikukaa vyema kutokana na ukweli wa results za utafiti, ni too passive. Ingepasa kuwa: TWAWEZA: 'Kukubalika kwa JPM kwaporomoka kutoka aslimia 96 mwaka 2016 hadi asilimia 55 mwaka 2018.'
Mods watusaisie ku moderate heading ipendeze zaidi. Leo nimefurahi sana. Wananchi naona tuko pamoja.
 
Mkuu umewahi kufanya hata utafiti ule wa form six wanaofanyaga wa magumashi, au ndio elimu yako nayo ndio vile tena.

Hii ni public disemination of results, kama.unataka kujua uhalali wa research( critique) tafuta article nzima ukasome mwenyewe.

Hii ni summery of research results.
 
Kwa kweli ata mimi nikiwa na mtoto wangu nikampeleka shule mwenzi wa kwanza kapata 96 mwenzi wa 3 kapata 71 mwenzi wa tano akapata 55 lazima nimkalishe chini nijuwe nini kimemshusha kwa kasi hivyo
Unaanza kuongea na mwalimu wake.kwanza huenda kuna matatizo shuleni.

Kwa tafiti hizi, unaweza kuona kuwa 2015 tuliingia choo cha kike.
 
Hasa haya mambo ya wasiojulikana yanakera kweli kweli
 
Hapo kuna 2019, na 2020..pengine ikabaki 25%...
Sema miujiza inayotokeaga kwenye sanduku la Kura Mungu ndie anejua...
Endelee kujifariji tu subiri 2019 na 2020 takwimu sitasema uhalisia.
 
Huu ni upuuzi kabisa. Kwa hiyo huu utafiti ni wa juzi tu baada ya kauli ya mashangazi kutolewa au alishawahi kusema tena huko nyuma kuhusu mashangazi? Utafiti wenu wa kikuda na kishenzi pelekeni huko huko chadema. Haya mnayosema na kupayuka ni bure maana 2020 tunashinda kwa zaidi ya 80% na hakuna atakaeleta fyokofyoko. Eti uelewa wa maandamano, ina maana kila wakati mnawaza kuandamana tu. Haya andamaneni na mle hayo maandaano, ila hapa ni kazi tu.
 
Reactions: UCD
Unaanza kuongea na mwalimu wake.kwanza huenda kuna matatizo shuleni.

Kwa tafiti hizi, unaweza kuona kuwa 2015 tuliingia choo cha kike.
Kuna tafiti zilisema Lowassa atashinda lakini akapigwa chini subirini 2020 ndiyo mtajua ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…