Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahaaaaaHabari ndiyo hiyo .... chart inazidi kushuka ............!!
Namkubali sana, kamwambia Chakubanga watu hawaishi kwa mkate tuu....Jenerali Ulimwengu
Chakubanga anatoa jicho tu kama, Amenusa kikopo.Namkubali sana, kamwambia Chakubanga watu hawaishi kwa mkate tuu....
Uzi haujasema utafiti ni reliable, uzi umesema kwamba utafiti umeonesha rais anakubalika kwa 55%.
Hahahaha aisee nimecheka sana]
55%? Inaelekea uelewa bado sana, kama bado kuna mtu anamwamini namuonea huruma huyo lolote anaweza kufanya hata kujiua!
Hahahaha wajinga nchi hii wengi sanaUnajua lkn kutafsiri takwimu au mwalimu wako wa hesabu ni polepole.
matokeo yalipokuwa 96% hukusema uzi ufutwe; leo matokeo 55% unasema uzi ufutwe; bado kuna miaka mbele...... siku yakija 25% utasema JF ifutwe wakati wao sio waliotafiti
Nna wasiwasi hiyo 25% ndo akonayo mda huu tena kwa kupachika mamluki kama kina hamupurei taratibu,msekwaa.. wakati wa hojai,ila makosa ya kiuandishi yakampa 55%Hapo kuna 2019, na 2020..pengine ikabaki 25%...
Sema miujiza inayotokeaga kwenye sanduku la Kura Mungu ndie anejua...
Ziro brain hasomi mbio kukomenti kweli chama chetu wajinga wengiBawacha hawataki kabisa kusikia....hiii hahahaha
Mbona mipovu! Evaluation ni muhimu kwa kila hatua katika jambo lolote! Tatizo la ccm hamuupendi ukweli na hasa unaohusu demokrasia. Badala ya kumshukuru aliyefanya utafiti huu unakazana ufutwe! Siyo sahihi sana kuifuta bali ccm kakaeni na dr Bana mlete utafiti wenu kwani tafiti hupingwa kwa tafiti na siyo kuufuta!
Ndio mlicho baki nacho kutisha watuHivi walipata kibali cha kufanya utafiti, na nani kawapa kibali cha kuchapisha huo utafiti?? Ningekuwa mimi NBS basi ningewashitaki hawa . Utafiki wa kiongo kabisa huu
Hawataki kusikia ameshuka kutoka 81% mpaka 55% au unamaanisha Nini?Bawacha hawataki kabisa kusikia....hiii hahahaha
for how deep ?Irrelevant and stupidest question....