mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Huo utafiti unadhihirisha ni kwa namna gani majizi ni wengi katika nchi hii kuliko waadilifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
]
55%? Inaelekea uelewa bado sana, kama bado kuna mtu anamwamini namuonea huruma huyo lolote anaweza kufanya hata kujiua!
Picha please,..Kama hakupata baraka za wakubwa kushiriki katika uwasilishaji wa ripoti hii ya utafiti, basi ajue tu anaweza kupoteza kibarua chake wakati wowote kuanzia sasa.
Nina wasiwasi sana kama aliruhusiwa.
Mtapata tabu sana kumu-impress.
Sasa yeye hajaficha haya rais wako atuambie iko wapi 1.5T. Ili tumuamini yeye tuachane na Zitto. Atuambie kishika uchumba cha Accacia kiko wapi na zile hela za faini baada ya kutupiga ili tusiwaamini hawa tumuamini yeye.View attachment 803036
Swali #8 item namba 3 inaonyesha ZITTO ana mkataba wa ushauri na TWAWEZA, unategemea data zitakuwaje kama sio za kupika! Na hiyo ni fomu ya tamko la raslimali na madeni.
Sina uhakika sana na hili unalolisema.Nilivyona kuwa nanyeye yupo na kaisifia report.
Nikajua hili jambo limeiva..
Pole pole mambo mengi anaigiza ila moyoni anajua kabisa kuwa roho yake ipo against. Na yy ni mwanaharakati.
Kuitetea serikali ni maigizo tu
kwani wakat wanahojiwa walikuwa wanaonyesha kadi za vyama vyao.Halafu unakuta hao waliohojiwa wote ni Wanachama wa vyama vya upinzani pamoja na viongozi wao, kwahiyo ukijumlisha sasa na wale ambao wanamuunga mkono ila hawakuhojiwa unakuta percentage ipo around 96%.
Anaweza kushinda kwa asilimia 100% hilo linawezekana kabisa, ila huwa hawataki tu maana zitazua maswali mengi.Hizi tafiti zipo kwaajili ya kuwa fariji vijana wa UFIPA, 2020 Magufuli atashinda kwa 81%
Taarifa kama hizi ni kwa watu wanojua kuchambua mambo na wenye fikra pana. hapa hakukufai wewe pita tu kwani huwezi kuelewa kwani akili yako ni 'nyembamba' mno.Nyinyi endeleeni na hizo takwimu uchwara! sisi hata tukifukuza wabunge wote..column tunayo! Na ole wake Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kama mshindi wa ubunge au udiwani, atafute kazi kwingine!
Tutamuelewa tuu Jiwe. Hakuna namna!
2020 naziona hizooo CCM Asilia vs CCM Academia....Kama hakupata baraka za wakubwa kushiriki katika uwasilishaji wa ripoti hii ya utafiti, basi ajue tu anaweza kupoteza kibarua chake wakati wowote kuanzia sasa.
Nina wasiwasi sana kama aliruhusiwa.
Mtapata tabu sana kumu-impress.