UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Nawaza kwa sauti tu!
Utafiti una mambo huu! Embu fikiria, 55% ndio wanaomkubali rais, kati yao kuna wazee na wasiokuwa na elimu kabisa. Na kuna 30% ambao hawajui kama uchaguzi leo hawajui watapigia chama gani. Ukijumlisha utapata 85%. From 100%, that means only 15% wanaunga mkono upinzani direct. Kitu ambacho sikudhani kama ni sahihi.
Kingine, hii idadi ya wasio na elimu. Utafiti ulikuwa unaangalia hadi kigezo cha elimu. Hapa nafikiri kulikuwa na kudhalilishana flani hivi na inaweza leta mpasuko na kusababisha utengano kati ya waliosoma na wasiosoma. Na ipo siku watakuja hadi dini ipi ina mkubali na ipi inampinga, ndio tunapo elekea.
 
Hao 55% ni SISIEMU tu ndio wanaomkubali,Tena wale walio kwenye Payroll kama kina Asenga,Le Mtumboz,Polepole and the like.
 
Hahahahaha pole pole bwana kawazungumzia mbowe na zitto zaidi ya magufuli na majaliwa
 
Wewe ndio usome vizuri....Magufuli ana kubalika kwa 55% kwa hiyo hatAngea ingelikuwa ni uchaguzi lazima angelishinda kabisa.....halafu CCM haihitaji utafiti ili kushinda Uchaguzi ...ccm kushinda uchaguzi ni lazima

Angeshinda vipi wabunge wana kubalika kwa47% rais hawezi kuwa rais bila kuwa na bunge majority au angeingia umoja na chama kingine?
 
Mod One Mod Two Moderator futeni huu uzi maana hauna ukweli wowote. Ni kipande tu mtu kakaa na kukitengeneza maana hakuna pahala huu utafiti ulipofafanua njia waliyotumia kufanya utafiti, hakuna validity wala reliability ya variable/data zao. Huu ni upotoshaji mkubwa sana, futeni haraka sana!
Vipi inekua 99% ungesema ifutwe!?
 
  1. Jiwe kashuka toka96% mpaka55% sasa kwa hii ratio Mpaka 2020% mbona atakuwa 15%16%
  2. Hahahahaha jiwe la barafu limeanza kuyeyuka
 
Salary Slip unajua ninavyokuheshimu kama GT. Ule utafiti kama ulipata nakala yake au ulimsikiliza yule presenter, walionesha jinsi walivyochukua sample, walieza jinsi walivyo fikia conclusion, na waliefafanua zaidi reliability na validity ya matokeo ya utafiti wao. Labda kama wewe umeamua kuvaa miwani ya mbao na kuachana na fikra za GT.

Huu uzi nasisitiza ufutwe haraka Mod Two
Walielezea kweli kabisa, lakini hata ripoti ya wathamini SGS pia walielezea sasa kinachofanya serikali kukataa mchunguzi huru ni nini?
 
Kwa hili uko sawa kabisa. Sasa kama inaweza kutoka na mabox ya kura na kuyarudisha yakiwa na kura za ccm mbele ya polisi wataacha kushinda?
Halafu magazeti na tv zilizo onyesha mabox yakitolewa na kurudishwa yakapewa onyo!
 
Nyie mkosoeni asiyetaka kukosolewa ,
Mi nishasoma alama za nyakati ,
Shauri yenu nyie ambao bado
 
utafiti wa kupika huu utafiti wa ukweli ni wa redet tuu
 
Back
Top Bottom