Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa,mwaka 2016 utafuti ulipoonyesha Jiwe anakubalika kwa 96% mliufagilia,Leo kashuka mpaka 55% mnaona ni utumbo mpaka uahoji kibali cha utafiti!Hivi walipata kibali cha kufanya utafiti, na nani kawapa kibali cha kuchapisha huo utafiti?? Ningekuwa mimi NBS basi ningewashitaki hawa wahuni. Utafiki wa kiongo kabisa huu
Naam,naona sindano inapenya barabara!
Kwa trend hiyo ndani ya miaka miwili na nusu ya kushuka kwa asilimia 41% maana yake ni kuwa ndani ya miaka mingine miwili na nusu ukishusha kwa 41% kutoka 55% utabaki kuwa anakubalika hapa nchini kwa 14% tuu!Hizi takwimu mbona mbaya sana, sasa ikifika 2020 si itakua hatari kabisa
Hawa wala ukoko wa viazi.. wajulie wapi.Unajua lkn kutafsiri takwimu au mwalimu wako wa hesabu ni polepole.
Hii inaogopesha, ni wakati wa kujitafakari, kuna kitu mahali hakijakaa sawaKwa trend hiyo ndani ya miaka miwili na nusu ya kushuka kwa asilimia 41% maana yake ni kuwa ndani ya miaka mingine miwili na nusu ukishusha kwa 41% kutoka 55% utabaki kuwa anakubalika hapa nchini kwa 14% tuu!
Nimeangalia nikasema hiiiiiiiiii!
Na vipi kama mkuu angemantain, ungeshauri NBS wawashitaki?Hivi walipata kibali cha kufanya utafiti, na nani kawapa kibali cha kuchapisha huo utafiti?? Ningekuwa mimi NBS basi ningewashitaki hawa wahuni. Utafiki wa kiongo kabisa huu
Kasome report yote hivyo vitu vipo
Hivi walipata kibali cha kufanya utafiti, na nani kawapa kibali cha kuchapisha huo utafiti?? Ningekuwa mimi NBS basi ningewashitaki hawa wahuni. Utafiki wa kiongo kabisa huu
Umesoma hiyo report ukaona sampuli ilikuwa ni upinzani tu au unaongea kwa hisia?Halafu unakuta hao waliohojiwa wote ni Wanachama wa vyama vya upinzani pamoja na viongozi wao, kwahiyo ukijumlisha sasa na wale ambao wanamuunga mkono ila hawakuhojiwa unakuta percentage ipo around 96%.
Una maana Bawacha hawataki kusikia kuwa umaarufu umeshuka toka 96% mpaka 55%!! Kama ni kweli basi hawa sio Bawacha ninaowafahamu.Bawacha hawataki kabisa kusikia....hiii hahahaha
Wewe ndio usome vizuri....Magufuli ana kubalika kwa 55% kwa hiyo hata ingelikuwa ni uchaguzi lazima angelishinda kabisa.....halafu CCM haihitaji utafiti ili kushinda Uchaguzi ...ccm kushinda uchaguzi ni lazima
Mzee hapa umevulunda toka 97 hadi 55 bado unaona ni sawa kweli magufuli anaongoza vichaa huko chamani kwenu.Bawacha hawataki kabisa kusikia....hiii hahahaha
Hakuna anaebisha magufuli kushinda atashinda vizuri tu tume,mahamakama na polisi wote wana mtii hata kama ni wewe ukishindwa ktk uchaguzi kwa hizo timu tatu huna akili kabisa.Hizi tafiti zipo kwaajili ya kuwa fariji vijana wa UFIPA, 2020 Magufuli atashinda kwa 81%