Utafiti: Akili inanywea kuanzia miaka 40

Hivi kwa mujibu wa Katiba ya JMT (1977) Mgombea U-Rais wa JMT anapaswa kuwa na umri gani?

Nina wasiwasi na wewe huenda si Mtz..! Inabidi tukufuatilie kwa undani tujue uraia wako.
 
sikubaliani na hili kabisa'mimi mbona ni 40 na najihisi iko fresh kuliko nilivyokuwa 30?labda watoe ufafanuzi wa kutosha au waeleze kwa undani inanywea vipi

Unaweza ukajiona uko freshi kumbe wanaokuona wanaona akili imeshazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…