UTAFITI; Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

hizi tafiti nyingine zipo shallow bhanaa..
“Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii

Kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani.. hao wa kwenye red wangetolewa au wafanyiwe tafiti peke yao tu,maana wengi wa hawa wako kimaslahi zaidi, na bei za huduma zao zinatofautiana kulingana na mahitaji ya mteja wampatae..

Wengi wao kuliwa 071.. ni ishu ya kawaida sana. haiwezekani ukawachanganya hawa na akinamama wa nyumbani kwenye utafiti wa aina hiyo,haiwezekani kabisa.. then uje useme 26%.. Type one error au Type two error.. hata sielewi majibu ya hiyo tafiti.. kweli dada zetu wanatupa 071.. lakini lazima tuwe fair ni kina zaidi ndo huwa tunawatifua m.a.k.i.m.b.a.? wapenda 071.. wana majibu zaidi..
 
MMMH HIZI TAFITI WAWE WANATUPA SAMPO SPACE ZAO..SASA MTU UKIENDA KUFANYA TAFITI PALE KONA BAA UNATEGEMEA NINI...WAMEHOJI WANAWAKE WANGAPI NA WALIOPO KWENYE TASNIA ZIPI...ASILIMIA 26 YA WANAWAKE WANGAPI?MI SIPEND TAFITI ZA JUU JUU BANA
Una swali zuri, tena zuri sana. Nenda NIMR ukamuone yule binti! Namfahamu sana ni makini mwanasayansi mzuri anyway!
 

Ahaa kumbe nawe ni mdau!
 
Mambo ya kula KisaMvu unakumbusha Tanga raha kiuno feni urembo shanga unaachiwa vyote ufunge magoli.....Dada zetu wana huruma sana...mana wengine hawafanyi kwa ajili ya njaa bali kupenda /kujaribu
 
You never know....
..dah 70% basi hata hawa wake zetu warudishe mahari. Maana kulipa mahari kwa mtu aliyezibuliwa nyuma ni uharibifu wa rasilimali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…