UTAFITI; Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

Tunapenda tu kuiga vitu vya ajabu ajabu, mwanaume anasikia kastory kwa rafiki zake eti nyuma kutamu Naye anaenda kumlazimisha mpnz /mke wake wajaribu huo upumbavu. Eeh mungu okoa hiki kizazi.
 
Ilisababisha Mungu aje kusabahi duniani baada ya vumbi la dhambi kutimka huko juu mbinguni akataka kuhakikisha je ni kweli?
 
Hii ni laana mimi watu wanakula utumbo? Huu ni zaidi ya unyama
 
MMMH HIZI TAFITI WAWE WANATUPA SAMPO SPACE ZAO..SASA MTU UKIENDA KUFANYA TAFITI PALE KONA BAA UNATEGEMEA NINI...WAMEHOJI WANAWAKE WANGAPI NA WALIOPO KWENYE TASNIA ZIPI...ASILIMIA 26 YA WANAWAKE WANGAPI?MI SIPEND TAFITI ZA JUU JUU BANA
Umeisoma hiyo habari mkuu? Mbona wameeleza vizur tu, wamechukua kada mbali mbali wakiwemo wanafunzi, walio kweny ndoa, wauguzi na wengn
 
Siku izi usipo tumia unaonekana mshamba.mimi sipendagi kuwashawishi wa nipe lakini Kama Ni mwanachama kutoka huko atokako na akanishirikisha Jambo lake napita nayo vizuri tu
 
Kutwa kuonesha,kubinua makalio
Unafikir wnataka nn km sy kuliwa tpe

Ova
 
Idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.Mfumo wa uzazi unaharibika watafiti wanabainisha kuwa kitendo hicho licha ya ukweli hakifai kwa vile kinaharibu mfumo wa uzazi, kina athari kubwa mno kwa mwanadamu, mojawapo ni ikiwemo uwezekano mkubwa wa wahusika kuambukizana virusi vya UKIMWI kwa vile hakuna vilainishi, hivyo kusababisha michubuko ambayo ndio njia kuu ya kuambukiza vijidudu hivyo.

Mtafiti Mwanasayansi, Irene Mremi kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini Tanzania (NIMR) alitoa ripoti hiyo hivi karibuni hapa jijini Dar Es Salaam. Mremi akiwa na jopo la watafiti kutoka NIMR anasema kuwa wanawake hao wamesema chanzo kikubwa kinacho wapelekea kufanya ngono kinyume na maumbile ni kujipatia kipato zaidi na Kuogopa kupata Mimba.

Vilevile alizitaja sababu nyingine za wanawake kufanya mapenzi kwa njia hiyo ni kulinda usichana wao na baadhi ya mila na tamaduni za baadhi ya makabila. Sampuli za utafiti Utafiti huo ulikusanya sampuli kutoka katika mikoa ya Dar es salaam, hasa maeneo ya Kinondoni, Tanga, Makete na Siha.

Mremi anasema “Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani Katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo pia wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo.

Imani potofu kwa wanaume wanaume waliohojiwa wamesema wanafanya kwa ajili ya kupata raha tu na imani ya kuwa huko hakuna maaambukizi ya VVU, kitu ambacho ni uongo, kwani huko ndiko kwenye kuchangia ukimwi kwa haraka zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote.

Chanzo: Mwananchi
Yani vijana na mabinti wameharibika sana aiseh
 
Wanawake wenye ndoa wanaofir** Imepanda mpaka 35%.
 
Back
Top Bottom