UTAFITI; Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

Ni kuomba Mungu tu.
...kiongozi, don't pay dowry, I urge you man. Mahari kwa kizazi cha sasa ni kuharibu pesa na rasilimali tu. Samaki ameliwa pande mbili na bado ununue mifupa..
 
du, haya majanga....na huu ndio ukweli usiopingika...hata humu JF (MMU) wapo kibao tu, na wengine WASAGAJI kabisa.
 
Wanaume wengi mjini daslam wanatembea na mafuta ya mgando kwenye mifuko yao
 

Nina wasiwasi na sample selection yao

Seems ilikuwa biased
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…