God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
sikesha kuambia hapo jaman! na yeeye analiwa😵 we umeijuaje
mbona mbele patamu sana jamani huko kwenye mavi kunani???Idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.Mfumo wa uzazi unaharibika watafiti wanabainisha kuwa kitendo hicho licha ya ukweli hakifai kwa vile kinaharibu mfumo wa uzazi, kina athari kubwa mno kwa mwanadamu, mojawapo ni ikiwemo uwezekano mkubwa wa wahusika kuambukizana virusi vya UKIMWI kwa vile hakuna vilainishi, hivyo kusababisha michubuko ambayo ndio njia kuu ya kuambukiza vijidudu hivyo.
Mtafiti Mwanasayansi, Irene Mremi kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini Tanzania (NIMR) alitoa ripoti hiyo hivi karibuni hapa jijini Dar Es Salaam. Mremi akiwa na jopo la watafiti kutoka NIMR anasema kuwa wanawake hao wamesema chanzo kikubwa kinacho wapelekea kufanya ngono kinyume na maumbile ni kujipatia kipato zaidi na Kuogopa kupata Mimba.
Vilevile alizitaja sababu nyingine za wanawake kufanya mapenzi kwa njia hiyo ni kulinda usichana wao na baadhi ya mila na tamaduni za baadhi ya makabila. Sampuli za utafiti Utafiti huo ulikusanya sampuli kutoka katika mikoa ya Dar es salaam, hasa maeneo ya Kinondoni, Tanga, Makete na Siha.
Mremi anasema “Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani Katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo pia wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo.
Imani potofu kwa wanaume wanaume waliohojiwa wamesema wanafanya kwa ajili ya kupata raha tu na imani ya kuwa huko hakuna maaambukizi ya VVU, kitu ambacho ni uongo, kwani huko ndiko kwenye kuchangia ukimwi kwa haraka zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote.
Chanzo: Mwananchi
mavimbona mbele patamu sana jamani huko kwenye mavi kunani???
Imekugusa nn?Angalau wametoa kamwanga..., ka-uhalisia fulani hivi!
903., wamesema wamezingatia Kada mbalimbali ktk jamii.., kasoro hakutaja wanawake walioko kwenye ndoa.MMMH HIZI TAFITI WAWE WANATUPA SAMPO SPACE ZAO..SASA MTU UKIENDA KUFANYA TAFITI PALE KONA BAA UNATEGEMEA NINI...WAMEHOJI WANAWAKE WANGAPI NA WALIOPO KWENYE TASNIA ZIPI...ASILIMIA 26 YA WANAWAKE WANGAPI?MI SIPEND TAFITI ZA JUU JUU BANA
Sana, maana data kama hizi ni ngumu sana kuzipata.Imekugusa nn?
Kwa hiyo dogo wewe unafanya huu mchezo sio?mbona kawaida sanaa
Unakaa zwa? [emoji15] [emoji15]mbona kawaida sanaa
Mini Kabang!!!Idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.Mfumo wa uzazi unaharibika watafiti wanabainisha kuwa kitendo hicho licha ya ukweli hakifai kwa vile kinaharibu mfumo wa uzazi, kina athari kubwa mno kwa mwanadamu, mojawapo ni ikiwemo uwezekano mkubwa wa wahusika kuambukizana virusi vya UKIMWI kwa vile hakuna vilainishi, hivyo kusababisha michubuko ambayo ndio njia kuu ya kuambukiza vijidudu hivyo.
Mtafiti Mwanasayansi, Irene Mremi kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini Tanzania (NIMR) alitoa ripoti hiyo hivi karibuni hapa jijini Dar Es Salaam. Mremi akiwa na jopo la watafiti kutoka NIMR anasema kuwa wanawake hao wamesema chanzo kikubwa kinacho wapelekea kufanya ngono kinyume na maumbile ni kujipatia kipato zaidi na Kuogopa kupata Mimba.
Vilevile alizitaja sababu nyingine za wanawake kufanya mapenzi kwa njia hiyo ni kulinda usichana wao na baadhi ya mila na tamaduni za baadhi ya makabila. Sampuli za utafiti Utafiti huo ulikusanya sampuli kutoka katika mikoa ya Dar es salaam, hasa maeneo ya Kinondoni, Tanga, Makete na Siha.
Mremi anasema “Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani Katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo pia wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo.
Imani potofu kwa wanaume wanaume waliohojiwa wamesema wanafanya kwa ajili ya kupata raha tu na imani ya kuwa huko hakuna maaambukizi ya VVU, kitu ambacho ni uongo, kwani huko ndiko kwenye kuchangia ukimwi kwa haraka zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote.
Chanzo: Mwananchi
Kweli, tangu enzi za Sonoma na Gomorrah hayo yalikuwepodah hakna jpya chni ya jua
Mkuu hivi nyuma kutamu? Maana mimi huwa nasikia kila kukichb tigo mara 0713.. hata sielewraha ya ngoma uingie ucheze jaribu kufanya utapata jibu