Utafiti: Asilimia 70% ya wanawake wanavutiwa kimapenzi na wanaume wenye ndevu

Ndevu fashion tu bana, mbona ziko sehemu kibao mwilini. Fuga pesa si ndevu.
 
Kuna kitu wadau hawajaelewa mada ya mtoa post.

Iko hivi ndevu ukiwa nazo alafu ukaweza kuzitunza na kupendeza vizuri kwa kucare a good style ya kunyoa na vitu kama hivyo kimuonekano utaonekana smart na yeyote kama mwanamke atashawishika na wewe au atatamani ajue zaidi kuhusu wewe na hapo ndiyo credit zako unapata na unawin chochote kwake.
 
Babu yako alikosea alitakiwa kusema "nimechagua kuto kufuga ndevu ,napendeza zaidi nikiwa bila na ndevu (bibi yako kanisifia)" hivyo tu
 
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐬𝐢𝐜𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐨 𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐉𝐅 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚𝐣𝐞 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐔𝐓𝐀𝐅𝐈𝐓𝐈 𝐡𝐮𝐨?
 
Sasa fuga ndevu ujisahau kufuga pochi(jaza dough) ndiyo utajua hujui[emoji2957]
yaan nashindwa kuelewa aliyeanzisha mjadala sijui kila siku huwa anawaza nini!

Anyway.......

Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini na watu wake ni masikini wa mali na fikra! ooooooh poor Tanzania[emoji26]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume bila neveu ni mtihani kidogo
 
Babu yako alikosea alitakiwa kusema "nimechagua kuto kufuga ndevu ,napendeza zaidi nikiwa bila na ndevu (bibi yako kanisifia)" hivyo tu
Babu yake alikuwa mchele mwanaume yoyote anayeponda Ndevu,Mzuzu,Mustach,Uchebe huyo ni Punga+
 
Kama ambavyo mwanaume humuona mwanamke mwenye ndevu, ndivyo mwanamke humuona mwanaume asiye na ndevu

Hivi mwanaume upate mwanamke mwenye mindevu usoni utamfurahia? Bila shaka ni utatimiza tu matamanio yako kwa kuwa stage ile tena inakuwa shida kudhibiti, lakini kwa kweli hafurahishi.

Basi ndiyo hivyo hivyo mwanamke akipata mwanaume asiye na ndevu basi anatekeleza tu matamanio na kujipatia mshahara lakini kwa kweli anakuona kama mwenzake tu,
NB
Mkiwa mmeoana mnaweza kulizungumza

Mwanaume ndevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…