Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Binadamu mtu mzima angalau kwa siku anazungumza maneno 16,000 kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanazuoni (Neuman, 2012)

The human adult utter at least 16,000 words a day, mostly through verbal exchange (Neuman, 2012).

Sasa sijui huu utafiti unawahusu na wale wasutaji wa mitaa yetu pendwa nahisi wale wanazungumza maneno Laki Moja kwa siku. Uzi tayari.
 
Inategemea,upo kwenye gari kutwa nzima,utaongea na nani.

Lakini pia mwanasiasa akiwa jimboni kwake anasikiliza maoni ya wananchi yake Kijiji kimoja baada ya kingine
 
Mimi mdomoni hayafiki 2,000 kwa siku.

Ila moyoni aisee yanazidi 200,000 hivi.

Introvert tunatabu sana.
 
Back
Top Bottom