Utafiti binafsi: Baada ya miaka michache hakutakuwa na mwanamke mweusi hapa Tanzania

Utafiti binafsi: Baada ya miaka michache hakutakuwa na mwanamke mweusi hapa Tanzania

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Asilimia 50 ya Dar peke yake tiyari wanawake wameanza kugeuka rangi na kuwa weupe, inasemekana inasababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa na sasa hata nywele zao zimeanza kubadilika na kuwa kama mvi au za kizungu.

Wengine wanakuwa zimewabadilika na kuwa kama za kihindi au kizungu ni nadra kwa Mjini Dar kutokuwaona wanawake walioathirika na mabadiliko ya tabia nchi.
 
MIYAKA michache ndio mingapi mkuu? kwa makadirio...
 
Tanzania hatutumii hesabu za makadirio tunatumia hesabu za mikakati.
 
Wapachubue na Kule maeneo Kama vipi.
 
Back
Top Bottom