Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Mapopo yanakesha na shisha kila siku alafu anasema yameishaYani unasema mapopo yameisha Tanzania?
Si ndio hapo?!!,Itakuwa wameisha kwao.Yani unasema mapopo yameisha Tanzania?
Naongezea mnyaaa na maua saa 6.Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.
Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.
Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?
1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Mkoa wa kilimanjaro hayo makitu yapo mengi kuliko binadamu, bila kusahau konokono.Kalunguyeyeye
Jongoo
Kinyonga
ha we! unaishi wapi. Upupu,njiwa,sungura,kumbikumbi.uyoga haijawai pita sku nisivione hivi vitu km kumbikumb huu msimu wa mvua ndo msimu wake wanakuepo wa kutosha.mkuu hadi senene huku kwetu mikoani bado wapoHuu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.
Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.
Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?
1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Uko kwenu kama vipo basi elewa kunasehemu vimepungua au vimetoweka.ha we! unaishi wapi. Upupu,njiwa,sungura,kumbikumbi.uyoga haijawai pita sku nisivione hivi vitu km kumbikumb huu msimu wa mvua ndo msimu wake wanakuepo wa kutosha.mkuu hadi senene huku kwetu mikoani bado wapo