Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
MikunguHuu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.
Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.
Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?
1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Mizambalau
miti ya mjohoro
Miarobaoni
Mizugwa
Mivumbasha