Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
- Thread starter
-
- #21
Uko kwenu kama vipo basi elewa kunasehemu vimepungua au vimetoweka. Pia huko kwenu Nako vitatoweka soon.ha we! unaishi wapi. Upupu,njiwa,sungura,kumbikumbi.uyoga haijawai pita sku nisivione hivi vitu km kumbikumb huu msimu wa mvua ndo msimu wake wanakuepo wa kutosha.mkuu hadi senene huku kwetu mikoani bado wapo
Jongoo wapo wengi mwanawaneKalunguyeyeye
Jongoo
Kinyonga
Vyote alivyotaja vipo kwa wingi jamaa tu wasiwasi wakeNi kwamba hao wadudu wamepotea ,au ni tumekua wakubwa tupo seriously na maisha kuliko hao wadudu[emoji848][emoji848][emoji848]
Mwongeze na Mbwa Mwitu, naye ni mnyama aliye hatarini kutoweka kwenye uso wa dunia kama jitihada za kumbakisha hazitazaa matunda.Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.
Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.
Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?
1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Mbwa mwitu tunajuaje kama wanspotea kama sie dio game? Hao wanyana wa porini hatuna mahusiano nao sana kwa sababu wametengwa na jamii.Mwongeze na Mbwa Mwitu, naye ni mnyama aliye hatarini kutoweka kwenye uso wa dunia kama jitihada za kumbakisha hazitazaa matunda.
Lakini, huwa nashangaa sana juu ya suala la kutoweka kwa mbwa mwitu, ambaye haliwi na hata hana pembe inayoweza kuwa biashara.
Tafsiri yake ni kwamba, kasi ya kufa kwake ni kubwa kuliko ya asili yake (maana yake wanauawa). Kwa maana kasi ya kufa haiendani na ile ya kuzaana.
Hivi ni wapi anakotowekea mnyama huyu?
Ova
Kwamba hujui wanakotowekea b…?Mwongeze na Mbwa Mwitu, naye ni mnyama aliye hatarini kutoweka kwenye uso wa dunia kama jitihada za kumbakisha hazitazaa matunda.
Lakini, huwa nashangaa sana juu ya suala la kutoweka kwa mbwa mwitu, ambaye haliwi na hata hana pembe inayoweza kuwa biashara.
Tafsiri yake ni kwamba, kasi ya kufa kwake ni kubwa kuliko ya asili yake (maana yake wanauawa). Kwa maana kasi ya kufa haiendani na ile ya kuzaana.
Hivi ni wapi anakotowekea mnyama huyu?
Ova
Mti uliokuwa maarufu wakati wa krismasi, mkrismasi'Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.
Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.
Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?
1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Lol! Ndiyo wanakula wa hifadhi zote jamani? Umenichekesha sana b..., hadi nilitaka niseme maneno yote hapa. Dah!Kwamba hujui wanakotowekea b…?
Ndugu zako upande wa dada wanajua zaidi. Lols
Ipo siku yako tu b…, utasema yote mwenyewe!Lol! Ndiyo wanakula wa hifadhi zote jamani? Umenichekesha sana b..., hadi nilitaka niseme maneno yote hapa. Dah!
Ova
Lols! Acha mengine tuongee kwenye PM basi. Na nimekumiss pia.Ipo siku yako tu b…, utasema yote mwenyewe!
Kama mimi tu siku zile!
Halafu ile sehemu yenu mnayosimamaga kula pale, kuwa makini.
Kuna historia pale, usijesema sikukuambia! Shauri yenu
Me more b…Lols! Acha mengine tuongee kwenye PM basi. Na nimekumiss pia.
Ova