KACHINJA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,263
- 869
Nimebaini kuwa watu wanaofanya mazoezi ya viungo huwa wanafurahia usingizi,hii ni kwa sababu viungo vyao huwa laini
Kinyume cha wale wasiofanya mazoezi huwa wanapata shida sana kutokana na kusihi maumivu ya viungo kama vile kiuno,mabega,shingo na nk