SnowBall umesahau mara hii mnavyowashikia bango wanasiasa wasiooa ama wenye nyumba ndogo?
Halafu mimi nadhani wanasiasa ndio wanapenda sana mechi za nje cup. Wakati wa mikutano ya vyama ama kampeni za uchaguzi ndipo kunakuwa na skandali nyingi za ngono baina yao.
Bila shaka umeshasikia tuhuma za viti maalum kuwa vyakula vya wazee wa chama!
..So kwa hapa ningependa kuona wanaume wenyewe wakipinga au kukubali utafiti huu kwani wao ndio wanajua hisia za miili yao na sio wewe mwanamke!kwani ukweli ni kwamba hujui chochote kuhusu lust ya mwanaume!kama ntawaudhi kinadada amsor!
gfsonwin na snowhite makungwi mnaitwa huku!
Back to the topic!
Asante kwa utafiti wenye msaada mkubwa; so unatushauri tufanyaje? Tukae chini na kuanza kulia au?
Sasa hao unatafuta penzi jipya kwao? You think wao hawajaolewa au hawana wapenzi? Hakuna haja ya kutambiana udharimu mtenda hutendwa kumbuka sema si kila mtu anaboast!
#
Ukweli ni ukweli tu mkuu..
Na isitoshe kinachotokea kwenye jamii ndio ukweli zaidi..Tatizo tunapenda kuamini sana tamthilia as 'mapenzi ni ya wawili tu'. Ukiangalia kwa makini hata kibaiolojia mwanaume ameumbwa tofauti na mwanamke na nadhani before we insist on infedility better we rely on how man sexual desire is developed.
Ila hapa najua tu walimu wangu gfsonwin na snowhite lazima watoke povu..
hujabadilisha ladha kaka!Mwanamume humkinai mke au mpenziwe walioishi muda mrefu pamoja wakifanya mapenz!
Licha ya wanawake wengi kuhangaika kuirudisha radha ya matamanio kwa wapenzi wao kwa kubuni na kujiweka katika hali tofautitofauti lakini hufikia hatua hata huo ubunifu mpya mwanaume huukinai!
Hata ujibadilibadili vp itafka hatua mumeo atakukinai tu!kwa sababu hii ni kweli ya asili(truth of nature).
Mwanaume akishafanya mapenz na mwanamke mara nyingi sana humkinai,na matamanio juu yake hupotea!hivyo mwanaume huanza kutamani mwanamke wa nje ambaye hajui radha yake hata kama huyo mpya atamaniaye si mzuri kushinda aliyenaye.
Ni kweli kwamba wanaume hupenda na kumuheshimu mpenzi au mke mmoja tu!lakini hushindwa kuendelea kumtamani mwanake mmoja tu!
"WOMEN U WILL ALWAYS CAPTURE THE MAN LOVE BUT NEVER HIS LUST" u never fight it u have to accept it and relax enjoy ur life!
Subiri afrodenzi akikua akaolewa ataona na kuamini. mjukuu wangu huyu.
ah hawa wanadhana mama zetu wapo kwenye ndoa rahisi...wamevumilia mengi bwana. wewe olewa lakini jua uta-share tuu dushelele la mume wako na vimada huko nje
My wife híi thread inazungumzia wanaume. Angezungumzia wanandoa kwa ujumla pia ningesema wanawake pia wanakinai. Ukweli unabaki palepale, hata ufanye nini kukinaiana kupo ndo maana nasema infidelity ni inevitable. Ikiwa huo ndo ukweli basi watu wakicheat then wacheat responsibly. Need I say more?
pacha nimeitika wito ndo nasoma hapa lithread kisha niingie ku darasa!najua wanafunzi wangu Asprin na wewe mtakuwa mshaharibu sana notes huku,ndo nazipitia nione milfanya nini wakati sipo darasani!
Bingo!
Mkuu nakubaliana na utafiti wako kwa 100%. Uzoefu wangu na wa ndugu, marafiki zangu karibu wote, majirani zangu na wafanyakazi wenzangu unathibitisha utafiti wako uko sahihi.
Kiukweli nampenda mke wangu kuliko wanawake wote duniani. Lakini mapenzi hayo yameshindwa kabisa kupambana na nguvu ya tamaa ya ngono.
CONCLUSION: Infidelity is inevitable!
ADVISE: Cheat responsibly!
Mwanamume humkinai mke au mpenziwe walioishi muda mrefu pamoja wakifanya mapenz!
Licha ya wanawake wengi kuhangaika kuirudisha radha ya matamanio kwa wapenzi wao kwa kubuni na kujiweka katika hali tofautitofauti lakini hufikia hatua hata huo ubunifu mpya mwanaume huukinai!
Hata ujibadilibadili vp itafka hatua mumeo atakukinai tu!kwa sababu hii ni kweli ya asili(truth of nature).
Mwanaume akishafanya mapenz na mwanamke mara nyingi sana humkinai,na matamanio juu yake hupotea!hivyo mwanaume huanza kutamani mwanamke wa nje ambaye hajui radha yake hata kama huyo mpya atamaniaye si mzuri kushinda aliyenaye.
Ni kweli kwamba wanaume hupenda na kumuheshimu mpenzi au mke mmoja tu!lakini hushindwa kuendelea kumtamani mwanake mmoja tu!
"WOMEN U WILL ALWAYS CAPTURE THE MAN LOVE BUT NEVER HIS LUST" u never fight it u have to accept it and relax enjoy ur life!
men do love just one,but their lust never last for the one!
wanaume bana ndo maana viserengeti boi vinawapigia wake zenu............
aliyekwambia mwenye kukinai ni mwanaume peke yake ni nani?
hata mwanamke hukinai pia......
infact binadamu kukinai ni kawaida....
mnapokua kwenye uhusiano /ndoa ni jukumu la kila partner kuwa mbunifu kwenye mapenzi......kuja tofauti tofauti.... sasa wewe yakalishe ukiamini ni jukumu la mwanamke kuwa mbunifu...... uone wanaume wenzio watakavyomfundisha ubunifu.......
utajiona kidume kuwa na nyumba ndogo kumbe mwenzio anao wake wanaompa ladha tofauti....mambo tofauti.... halafu si unajua kazi za nje zinavyojituma? zinapiga mzigo wa ukweli kiasi kwamba mkeo akirudi hataki hata kuguswa....chezea wezi wewe...
narudia mahusiano yanajengwa na wawili......kila mmoja ana jukumu la kuhakikisha anakuja tofauti daily........
Wanawake bana!!..jamaa kaja na utafiti wake kuhusu wanaume mnampinga..kisa kasema ukweli!
Kama na wanawake nao huwa wanakuwa na 'lust' ambayo ni inevitable ni issue ya kuprove tu na watu watawaelewa..
Twende mbele turudi nyuma..kuna wakati mapenzi huchuja kabisa..na ni ngumu sana kuieleza hii hali kwa jinsia nyingine..
Tukianza kujadili tatizo lazima tujue chanzo cha tatizo lenyewe pia..
Ndoa nyingi sana na kwenye mahusiano tumeshuhudia sana wanaume wakiongoza kwa kucheat..na hata maambukzi ya HIV tunaambiwa kwa kiasi kikubwa yako kwa wanandoa..Manake ni nini?..hapa kuna kitu tunakifunika tu lakini ndio ukweli wenyewe..Jinsia moja kwenye ndoa ina 'lust' ambayo ni inevitable..na kulazimishana kuamini kwamba mwanamume atadumu na mwanamke mmoja ni kujilisha upepo tu!!..
Men should be allowed to cheat but responsibly..i concur with you bro Asprin
Kwani my pacha huuoni ukweli hapa?..
Hebu pitia huu msredi afu utaniambia...
uko sawa kaka, nilikuwa nasoma kitabu cha kamasutra kile original, kina maelezo kwa nini mwanaume mwisho wa siku pamoja na kupikiwa chakula poa na kupewa mechi kila anavyotaka bado atachomoka pembeni....
its human nature to dare for new challenges, something exciting. mwili wa binadamu umeumbwa kukumbana na challenges tofauti tofauti, na unapofanya jambo moja kwa muda mrefu huzoea na kuanza kupoteza msisimko kwa hilo jambo, so mhusika hujikuta anasukumwa kujaribu something different, hii ipo kwa wanaume na wanawake ila kwa wanaume ni sana kuliko wanawake
pacha unajua ndo yale nilikwambi siku ile mwanadamu katika uhalisia wake ni mtu anapenda vitu vipya kila uchao sasa kwa mwanaume kuwa na lust hilo wala si lakupinga tunachopinga sisi na kutoka povu ni kuwa wanawake kwa wanaume they do take this reality for granted,wanawake wanabaki kubweteka wakiamini hata wafanye nini mwanaume ana tamaa na wanaume wancheat wakiamini bila kuwa na mwanamke nje hajakamilika!hapa ndo kwenye shida!sisi ni wanadamu sio wanyama my dears!tuna utashi!haimaaninisha unafuata tu ur ego inavokupeleka!
ni mwanaume na pengine nyie wenzetu malezi mnayolelewa huku jamii ikiamini ni sahihi mara nyingi nyie ndo mnajikuta mmeingia kwenye hayo mazingira!sisi si rahisi sana pengine kutokana na mumbile yetu unajua kwa mwanamke si rahisi sana kukubali kuingiliwa na kila aina ya uume since hujihisi mchafu lakini mwanaume yeye kwake ni sawa since tendo lile na maumbile yanamfaavor zaaid mwanaume aftermath!kwa hiyo pengine hata kama mwanamke anakuwa wa kwanza,mpka afanye decision ya nini afanye inachukua muda kidogo kitu amabcho kwa mwanaume anajionea sawa tu!
pacha jumapili hii,si unajua sa ngapi sa hizio nshashiba ugali na tembele nashushia na castle baridi hapa nahisi ndo sababu!Pacha naona umechanganya madesa..manake naona umeongelea 'social streotype' kwa wanaume na kwa wanawake umeongelea 'biological set up'..nilidhani ungewa'qualify' wote kwenye attributes zinazofanana..Any ways nadhani nimekuelewa kiaina nini unasema!
Mkuu, yule mwanamke nayempenda sana mpk nikamtolea mahari ili nimuoe, kila siku namwona uchi na storongo haisimami mpaka istuliwe. Mtaani akikatiza binti mrembo storongo inasimama ghafla ikitaka kutimiziwa haja... Huoni hapo tayari kuna tatizo? Home kuna K ya bure unayoweza kuipata wakati wowote lakini unaiacha unaenda kutafuta ya kuihonga. Wanawake "watakatifu" wa JF hawapendi kuukubali ukweli huu ulio wazi kabisa.