SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,842
SnowBall umesahau mara hii mnavyowashikia bango wanasiasa wasiooa ama wenye nyumba ndogo?
Halafu mimi nadhani wanasiasa ndio wanapenda sana mechi za nje cup. Wakati wa mikutano ya vyama ama kampeni za uchaguzi ndipo kunakuwa na skandali nyingi za ngono baina yao.
Bila shaka umeshasikia tuhuma za viti maalum kuwa vyakula vya wazee wa chama!
Mkuu nakubaliana na wewe wanasiasa na ngono ni damudamu aisee..hususan huku kwetu Afrika.
Tena hizo vitu maalum ndio kiboko mzee...