Utafiti: Dakika 47 zinatosha kufanya mwanamke awe na furaha

Utafiti: Dakika 47 zinatosha kufanya mwanamke awe na furaha

Kuna mda ukisoma comment za watu humu utaona kama Hawa watu wako saint sana na haya mambo hawafany kweli ila kiuhalisia wanaume wanaongoza kupenda na wako vizur kwenye kuforce mwanamke awe na furaha
Wanaume wa Jf wao wanajiona perfect sana ila watu ndan ya nafsi zao wako buzy kupigania furaha zao Kwa kuwapa furaha wanawake Shame!!
 
Utafiti unaosambaa kwenye mitandao unaonyesha kwamba wanawake huzidi kujisikia furaha katika uhusiano wanapopata dakika 47 za umakini bila kipingamizi kutoka kwa wapenzi wao kila siku. Hii inahusisha mazungumzo yenye maana, kufanya shughuli pamoja, au kuonyeshana upendo, na sio kutumia simu wakiwa pamoja.

Utafiti kama ule uliochapishwa na Journal of Social and Personal Relationships mwaka 2021, zinaonyesha kuwa muda wa pamoja huongeza kuridhika kihisia, uhusiano wa karibu, na furaha ya muda mrefu. Hivyo, ingawa dakika 47 inaweza kuwa takwimu iliyoelekezwa kihisabati, mfumo wa kuzingatia muda wa kweli pamoja ni muhimu kwa mahusiano yenye afya na furaha.​

​
Kwa mwanaume ni dakika ngapi?
 
Back
Top Bottom