The Ice nimependa ngeli yako, nifundishe tuit bas.Nobody can make you happy if you aren't happy inside"
True, lasting happiness comes from within and cannot be granted by external factors, people, or circumstances.
πππππKutuma pesa wala hakuihitaji dakika zote hizoπββοΈ
Karibu Geto kwangu ili wakati nakufundisha,pia uwe unaburudika na Juice uipendayo.The Ice nimependa ngeli yako, nifundishe tuit bas.
Tag locs em, niwahi chaap kipindi.Karibu Geto kwangu ili wakati nakufundisha,pia uwe unaburudika na Juice uipendayo.
P'port unayo nikuombee Visa?Tag locs em, niwahi chaap kipindi.
Aisee π€Sio kazi yangu kumfanya mtu yoyote awe na furaha, maana kuwa ridhisha binadamu sio kazi rahisi.
uta wapa pesa, muda wako, mjegeja vizuri still ata tafuta sababisha ya kipuuzi akusaliti au muachane.
Kwa mwanaume ni dakika ngapi?Utafiti unaosambaa kwenye mitandao unaonyesha kwamba wanawake huzidi kujisikia furaha katika uhusiano wanapopata dakika 47 za umakini bila kipingamizi kutoka kwa wapenzi wao kila siku. Hii inahusisha mazungumzo yenye maana, kufanya shughuli pamoja, au kuonyeshana upendo, na sio kutumia simu wakiwa pamoja.
Utafiti kama ule uliochapishwa na Journal of Social and Personal Relationships mwaka 2021, zinaonyesha kuwa muda wa pamoja huongeza kuridhika kihisia, uhusiano wa karibu, na furaha ya muda mrefu. Hivyo, ingawa dakika 47 inaweza kuwa takwimu iliyoelekezwa kihisabati, mfumo wa kuzingatia muda wa kweli pamoja ni muhimu kwa mahusiano yenye afya na furaha.
πππ HakikaSijasoma huo upuuzi lakini mapenzi yatakuuwa