UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
mimi naomba kuuliza swali, kama limeshaulizwa huko nyuma na likajibiwa naomba mniwie radhi, hivi huu mfumo kristo ni mfumo wa dhehebu gani la ukristo? maana ukristo umemegeka vipande vipande kuna madhehebu ambayo hayakubaliani na kuna wale wanaopingana kabisa.....kuna wale ambao papa ni kiongozi wa kanisa lao, na kuna wanaoamini papa ni antichrist, kuna wanaopeleka watoto wao seminary na wale wanaoamini seminary ni mahali pa kujifunza uchungaji sio masomo ya sekondari, kuna wanaokula nguruwe na wasiokula etc kwa kifupi tofauti zao ni nyingi sana kiasi kwamba ni vigumu kufikiria kwamba wanaweza kuwa katika mfumo mmoja ....hivi huu mfumo ni wa mfumo katoliki, mfumo lutheri, sabato, Moravian, pentekoste au mfumo gani hasa. kwa heshima na taadhima naomba kuelimishwa

Heshima kwako mkuu kwa swali zuri sana,

Ngoja tuvute subira watakuja kutujibu soon!
 
mimi naomba kuuliza swali, kama limeshaulizwa huko nyuma na likajibiwa naomba mniwie radhi, hivi huu mfumo kristo ni mfumo wa dhehebu gani la ukristo? maana ukristo umemegeka vipande vipande kuna madhehebu ambayo hayakubaliani na kuna wale wanaopingana kabisa.....kuna wale ambao papa ni kiongozi wa kanisa lao, na kuna wanaoamini papa ni antichrist, kuna wanaopeleka watoto wao seminary na wale wanaoamini seminary ni mahali pa kujifunza uchungaji sio masomo ya sekondari, kuna wanaokula nguruwe na wasiokula etc kwa kifupi tofauti zao ni nyingi sana kiasi kwamba ni vigumu kufikiria kwamba wanaweza kuwa katika mfumo mmoja ....hivi huu mfumo ni wa mfumo katoliki, mfumo lutheri, sabato, Moravian, pentekoste au mfumo gani hasa. kwa heshima na taadhima naomba kuelimishwa

Watu walivyovilaza utashangaa majibu unayopewa ni kwamba toa andiko yesu mungu.
 
Mi jibu ninalo tena zuuri sana!

Lkn kabla ya kukupa hilo jibu nilitaka utuweke sawa hapa!

Unaweza kututajia kwa majina ya hayo matawi ya wakristo yanayosema papa ni antichrist! ?

Tunafahamu kuwa kuna makundi ya wakristo yanapingana mpaka kuuwana!

Mfano Protestant na Catholics huko Ireland!

Lkn huku tanzania hebu tufafanulie kidogo. Ni makundi gani hassa yenye uadui mkubwa ndani ya ukristo?

Ili nikupe jibu la swali lako. Kwa heshima na taadhima!
 
Watu walivyovilaza utashangaa majibu unayopewa ni kwamba toa andiko yesu mungu.

Na walivyo waajabu, unaweza kuona wapo na wanaopinga hii hapa chini,

Z’bar education ahead of Mainland - study
Correspondent YUSSUF YUSSUF, Zanzibar
Daily News; Thursday,August 31, 2006 @00:04

OVER 40 per cent of women in Zanzibar have been to secondary school compared to Mainland's eight per cent, the latest Tanzania Demographic and Health Survey (TDHS) has revealed.
The survey also pointed out that adults in Zanzibar are four to five times likely to have attained secondary school education more than adults on the Mainland.

The survey results released yesterday also indicate that Zanzibar generally had better health indicators than Mainland Tanzania. Infant mortality rate, for example, is lower in Zanzibar where women are more likely to give birth with assistance from trained midwives than women on the Mainland.

However, the situation is not uniform in Zanzibar as some parts are better off than others. For instance, children in Pemba and north of Unguja were disadvantaged compared to those in Unguja Urban Region.

More than 10,000 households were involved in the survey, which is part of the governmentís efforts to fight poverty in the country.

Speaking at a seminar to announce the survey findings here yesterday, Social and Demographic Statistics Manager-National Bureau of Statistics (NBS) Mr Saidi Aboud expressed concern that findings of most surveys in Tanzania were not disseminated to many people.

He told the seminar that a number of surveys had been undertaken, but "unfortunately the results are never disseminated down to the grassroots level. This is a challenge to us because dissemination requires money.

"We intend to use posters, brochures in our future plans to help in disseminating survey findings, because using mass media requires much money," Mr Aboud said.

The survey's interesting finding was that one in three Tanzanian women and one in five Tanzanian men are illiterate.
The survey further found that literacy level was 67 per cent for women in the Mainland against 77 per cent in Zanzibar.

Men's literacy rate is 80 per cent for Tanzania Mainland and 86 per cent for Zanzibar.
The Head of Social Statistics-Zanzibar Office of the Chief Government Statisticians (OCGS) Ms Mayasa Mahfoudh Mwinyi said that Women's literacy varies by region.

"Literacy level in Tabora and Rukwa was 53 per cent and in Shinyanga 45. Female illiteracy is lowest in Kilimanjaro with eight per cent, Dar es Salaam 13 per cent, and Zanzibar Town was 10 per cent," the study, which was conducted between October 2005 and February 2006, shows.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom