UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.

Heshima kwako mkuu kwa swali zuri sana,

Ngoja tuvute subira watakuja kutujibu soon!
 

Watu walivyovilaza utashangaa majibu unayopewa ni kwamba toa andiko yesu mungu.
 

Mi jibu ninalo tena zuuri sana!

Lkn kabla ya kukupa hilo jibu nilitaka utuweke sawa hapa!

Unaweza kututajia kwa majina ya hayo matawi ya wakristo yanayosema papa ni antichrist! ?

Tunafahamu kuwa kuna makundi ya wakristo yanapingana mpaka kuuwana!

Mfano Protestant na Catholics huko Ireland!

Lkn huku tanzania hebu tufafanulie kidogo. Ni makundi gani hassa yenye uadui mkubwa ndani ya ukristo?

Ili nikupe jibu la swali lako. Kwa heshima na taadhima!
 
Watu walivyovilaza utashangaa majibu unayopewa ni kwamba toa andiko yesu mungu.

Na walivyo waajabu, unaweza kuona wapo na wanaopinga hii hapa chini,

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…