Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Salam wote jf
Direct to the topic...
Je ni utafiti gan ulioufanya kwa kichwa chako ukijumlisha na your daily life experiences na unajivunia.
Binafsi utafiti wang nilioufanya na najivunia kwa majibu yake ni "asilimia 85% ya wabongo ni vichwa vibovu"
Je wewe utafiti gan ulioufanya na unajivunia kwa majibu yake?
Sent using Jamii Forums mobile app