Kwenye gubu nakuunga asilimia zote.Nimegundua wanaume wengi siku hizi wako na gubu mingi na umbea umbea.
Umewananga wabongo kwakuwa pengine hujaisafiri dunia.. Mimi utafiti ninaojivunia nao ni USHIRIKINASalam wote jf
Direct to the topic...
Je ni utafiti gan ulioufanya kwa kichwa chako ukijumlisha na your daily life experiences na unajivunia.
Binafsi utafiti wang nilioufanya na najivunia kwa majibu yake ni "asilimia 85% ya wabongo ni vichwa vibovu"
Je wewe utafiti gan ulioufanya na unajivunia kwa majibu yake?View attachment 1848629
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetisha.Nimegundua kuwa mtu mweusi ni Kima aliechangamka.
Imagine nchi kama Tanzania chama cha siasa kinampitisha mtu mwenye file Mirembe kuwa mgombea urais na anapita na kuwa Rais.
Kuna uwezekano pia wanawake ndio wanaosababishaNimegundua wanaume wengi siku hizi wako na gubu mingi na umbea umbea.
Kwani si kila tatizo lenu, anaesababisha ni mwanamke!!!
Hivyo wakupaswa kulaumiwa ni wanawake sio ccKwani si kila tatizo lenu, anaesababisha ni mwanamke!!!
Mara nying ukiwa na idea bora kuuliza tu, inawezkan watu washaifany since karne zlizopitaNilikua nawaza kutengeneza kifaa ambacho kitawasaidia watu wasioweza kujieleza. Yaani unakifunga tu kichwani chenyewe kinaproject either kwa maandishi au kwa sauti kila unachokiwaza. Nigundua kumbe wazee baba waligundua ukipiga bia kadhaa kumbe maneno yanafyatuka tu..Jokes bwana[emoji28]
Ila kiukweli nilitaka kutumia njia kama za Jackow Trachtenberg alivyorahisiha kukokotoa mahesabu magumu ila nikaja kugundua kumbe wenye akili na pesa zao walishagundua wazo langu toka miaka ya 1920s. Niliamua kuachana nalo
Mkuu una nin cha kutuambia kuhusu "ushirikina"?Umewananga wabongo kwakuwa pengine hujaisafiri dunia.. Mimi utafiti ninaojivunia nao ni USHIRIKINA
Mkuu hiyo haipingwiNlichogundua ukipga tungi heavy unapata vina vingi vya kumuimbisha mwnamke
Mkuu inaonesha utafit wak ulikuwa practical zaidNiliwahi fanya utafiti kutembelea maeneo wadada poa wanajiuza
miaka ya 2014 utafiti ulitimia 2016
Niligundua kona bar ilikuwa ndio chimbo kuu kwa totoz standard na affordable
Buguruni dada poa wengi walevi na wavuta bangi pia wezi
Kisumu bar pale sokota walikuwa si haba mambo safi kidogo tofauti na buguruni
Temeke sudani kwenye vijumba huko ilikuwa ni 2000 yako unapewa mbususu
Ushirikina upo na tunaishi nao
Nakusalim kwa tunguri mkuuUmewananga wabongo kwakuwa pengine hujaisafiri dunia.. Mimi utafiti ninaojivunia nao ni USHIRIKINA