Utafiti gani ulioufanya na unajivunia?

Kujua kama kipara ni tako dogo
Nakusalim kwa tunguri mkuu
 
jamaa wanaotukana na kujibu hovyo mitandaoni vinakuwa viwatu flani hovyo sana na hopless na havina nguvu yaani afya zao zinakatisha tamaa ila utakuta kanakuandikia ''katafte pakufia kenge wewe''

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
 
90% ya wadada wanaotukana mtandaoni ni 'wabovu'.

Wadada warembo na wazuri asilimia kubwa huwa hawatukani mtandaoni na ni wachangamfu kiasi.
 
Kwamba kuna miziki kwenye umeme wa tanesko pia kwa mfumo huu unaweza kusikiliza idhaa za kuzimu🤔🤔🤣🤣🤣🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…