GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
Ameandika tom cruz
Nimefanya utafiti mdogo kwa baadhi ya wachambuzi ambao wanalaumiwa na baadhi ya viongozi na mashabiki wa Yanga kuwa wanatumika kuichafua klabu hiyo na kuibua migogoro mara kwa Mara.
Baadhi yao wanaotajwa sana ni:
Nimechukua sample ya wachambuzi (2), Oruma & Jemedari.. Nimebaini yafuatayo ;
WILSON ORUMA
Post ya kwanza utakapofungua Comments ambayo kawaponda Yanga ina Comments (596).
Post ya pili ambayo kawaponda Simba ina Comments (38).
Post ya tatu ambayo kawasifu Yanga ina Comments (97)
JEMEDARI SAID
Post ya kwanza ambayo kawaponda Yanga ina Comments (1,139) .
Post ya pili ambayo kawaponda Yanga ina Comments (1,088).
Post ya tatu na ya mwisho ambayo kawasifu Yanga ina Comments (271)
Nini maana yake?
» Ni kwamba, kinachowafanya waandike mambo hasi zaidi ya Yanga kuliko chanya ni KUPATA COMMENTS & LIKES.
Wamegundua njia ya kuwapata mashabiki wa Yanga ni kwa kuiponda klabu yao. Licha ya kutukanwa sana Wao hawajali. Lengo ni kupata FANS ENGAGEMENT.
Kwa hiyo, wengine sio kwamba wanaichukia sana hiyo klabu bali wamegundua ukitaka kuwa maarufu kwa muda mfupi wewe iponde Yanga.
Believe or not 90% ya mashabiki Nchini wamemjua Wilson Oruma kwa sababu ya kuiponda Yanga.. Bila hivyo ASINGEKUWA MAARUFU.
Oruma mimi namfahamu tangu (2014) alipomaliza chuo.. Efm ni kituo chake cha (6) kufanya kazi, amepita Tv 3 na vituo vingine kote huko hakuwa maarufu.
Baada ya kufika Efm akatonywa, wewe waponde wale jamaa wa njano na kijani UTAENDA MJINI.
Na kweli kaenda [emoji3514]
NB ; Nothing personal [emoji3577]

- Jemedari Said
- Wilson Oruma
- Micky Jnr
- Saleh Jembe