Utafiti huru

GANA BANKS

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
608
Reaction score
872
Ameandika tom cruz

Nimefanya utafiti mdogo kwa baadhi ya wachambuzi ambao wanalaumiwa na baadhi ya viongozi na mashabiki wa Yanga kuwa wanatumika kuichafua klabu hiyo na kuibua migogoro mara kwa Mara.

Baadhi yao wanaotajwa sana ni:

  • Jemedari Said
  • Wilson Oruma
  • Micky Jnr
  • Saleh Jembe
etc ..

Nimechukua sample ya wachambuzi (2), Oruma & Jemedari.. Nimebaini yafuatayo ;

WILSON ORUMA
Post ya kwanza utakapofungua Comments ambayo kawaponda Yanga ina Comments (596).

Post ya pili ambayo kawaponda Simba ina Comments (38).

Post ya tatu ambayo kawasifu Yanga ina Comments (97)

JEMEDARI SAID
Post ya kwanza ambayo kawaponda Yanga ina Comments (1,139) .

Post ya pili ambayo kawaponda Yanga ina Comments (1,088).

Post ya tatu na ya mwisho ambayo kawasifu Yanga ina Comments (271)

Nini maana yake?

» Ni kwamba, kinachowafanya waandike mambo hasi zaidi ya Yanga kuliko chanya ni KUPATA COMMENTS & LIKES.

Wamegundua njia ya kuwapata mashabiki wa Yanga ni kwa kuiponda klabu yao. Licha ya kutukanwa sana Wao hawajali. Lengo ni kupata FANS ENGAGEMENT.

Kwa hiyo, wengine sio kwamba wanaichukia sana hiyo klabu bali wamegundua ukitaka kuwa maarufu kwa muda mfupi wewe iponde Yanga.

Believe or not 90% ya mashabiki Nchini wamemjua Wilson Oruma kwa sababu ya kuiponda Yanga.. Bila hivyo ASINGEKUWA MAARUFU.

Oruma mimi namfahamu tangu (2014) alipomaliza chuo.. Efm ni kituo chake cha (6) kufanya kazi, amepita Tv 3 na vituo vingine kote huko hakuwa maarufu.

Baada ya kufika Efm akatonywa, wewe waponde wale jamaa wa njano na kijani UTAENDA MJINI.

Na kweli kaenda [emoji3514]

NB ; Nothing personal [emoji3577]
 
Tatizo tunataka wachambuzi wabalance, akiiponda Simba basi aiponde na Yanga.

Sasa wengine hawataki huo unafiki wanadeal na timu moja


Nb: kuishabikia uto inahitaji ujitoe ubongo kwanza
 
Pamoja naa jitihada zake. Mm ndo kwanza namjua Leo hapa jamii forum na uyanga wangu woote
 
KM KWELI ILE
 
Ongezea na wachambuzi wengine Kama OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @
Siku zingine usirudie tena Kunifananisha Kiuchambuzi na huu Uozo mwingine ulioutaja hapa sawa?

Angekuwa ni Mngwena ( Bingwa ) wa Uchambuzi wa Michezo hapa JamiiForums basi angeshinda Yeye Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sportse ) hapa JamiiForums badala yake Nimeshinda Mimi GENTAMYCINE huku Yeye muda wake mwingi akiutumia Kushawishi Watu ( Members ) wasinipigie Kura na wampigie Mumewe Greatest Of All Time ili ashinde na bado akapuuzwa na nikashinda Mimi kisha kwa Upumbavu na Uswahili Wao wakaanza kusema ( kudai ) kuwa ID's zote zilizonipigia Kura ni zangu ( yaani nina Multiple ID's ) hapa.

Cc: OKW BOBAN SUNZU
 
Kwa sasa yanga imekuwa timu nzuri sana kwa kipindi cha miaka hii miwili.Ila kwa kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa mbovu sana sana sana.Mlitaka waiandikaje.Na hata kwa mafanikio haya kidogo mnataka ghafla yanga iwe kama timu ya mitume.MKIISHANGILIA NA KUIPENDA NINYI iNATOSHA.ninyi mnataka kila mwanaadamu aizungumzie yanga tu kiuzuri.Tuachage ushamba.
 
Utopolo wengi wamejitoa betri. Dunian ni wawili tu wenye ubongo, waliobaki ni tabularasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…